Baada ya mashabiki wa mtaa wa pili,tatu na nne kuanza KUWEWESEKA na usajili wa MAN UTD sasa na makocha wao nao wameanza kuweweseka na kushindwa kuzuia kihoro chao..........
Arsene Wenger has questioned Manchester United's transfer policy, suggesting the club has sacrificed its principles in pursuit of glory.
United have spent close to £80m to lure the likes of Memphis Depay, Bastian Schweinsteiger and Morgan Schneiderlin to Old Trafford, while Wenger has signed just one reinforcement so far in £10m goalkeeper Petr Cech.
Kwa habari zaidi ingia hapo chini
Arsene Wenger questions Manchester United transfer policy | Football News | Sky Sports

Alichosema babu Wenger ni ukweli mtupu unless kama wewe ni mshabiki mpya wa Man United utapingana na hayo. Enzi za babu SAF Manchester United hawakuwahi kumwaga pesa kama walivyofanya misimu hii 2 (angalieni historia ya usajili ) na bado kuna chance mtavuka £100M mark msimu huu.

Ata wakimwaga pesa sn no 4 inawahusu au mtaa Wa 7. Kwani last season hawakumwaga mpunga mwingi? Waliishia wapi na hizo pesa?

Sasa inawahusu nini?? Hivi wewe unaweza kujadili jirani yako akinunua RR mpya au akitumia 50m kwenye fence ya nyumba yake eti useme siku hizi kabadilika anatumia hela zote hizo kwenye gari??!! Hizo enzi za SAF zimepita,pesa ipo inatumika na bado!
Ulichosema ndio tatizo letu wapenzi wa soka wa siku hizi. Tunataka na kuamini kuwa mafanikio ya kimpira yanatokana na kununua /kusajili wachezaji kwa pesa ndefu kila kipindi cha usajili. Liverpool na Tottenham Hotspur wametuonyesha kuwa kumwaga pesa sio suluhisho la kuwa na timu mbovu. Mkuu soma article kwa kutotumia jicho la kishabiki utaelewa Wenger alichosema.Sasa inawahusu nini?? Hivi wewe unaweza kujadili jirani yako akinunua RR mpya au akitumia 50m kwenye fence ya nyumba yake eti useme siku hizi kabadilika anatumia hela zote hizo kwenye gari??!! Hizo enzi za SAF zimepita,pesa ipo inatumika na bado!
Ulichosema ndio tatizo letu wapenzi wa soka wa siku hizi. Tunataka na kuamini kuwa mafanikio ya kimpira yanatokana na kununua /kusajili wachezaji kwa pesa ndefu kila kipindi cha usajili. Liverpool na Tottenham Hotspur wametuonyesha kuwa kumwaga pesa sio suluhisho la kuwa na timu mbovu. Mkuu soma article kwa kutotumia jicho la kishabiki utaelewa Wenger alichosema.
tatizo lako wewe chochote asemacho Wenger kwako ni kama neno la msahafu au biblia! mpira wa sasa bila pesa hauwezekani!!!!
mabingwa wa epl misimu mitano iliopita wote ni timu zenye pesa. mkinunua nyinyi ni sawa wakinunua wengine wanatumia hela vibaya! OZIL,SANCHEZ mmewanunua kwa bei gani?
Mkuu kasome kila kilichosemwa na Wenger uelewe, usikadhanie "kichwa cha habari" kinachopotosha na 100% ya alichosema Wenger. In fact Wenger ameisifu Manchester United past and present na ameisifu Barcelona vile vile amesema Arsenal wanafuata nyayo ya systems zilizotumiwa na Barca na Manchester United zamani kujaribu kupata mafanikio bila ya kumwaga pesa nyingi.
Umesema kuwa timu zilizokuwa mabingwa miaka mitano iliyopita ni zenye pesa. Tofauti na ulichosema ni kuwa Manchester United ya SAF mwishoni ni kuwa haikumwaga pesa nyingi kama ilivyofanya baada ya kustaafu. Msimu wa mwisho wa SAF Manchester United ilitumia £53,400,000 kiasi ambacho mmekizidisha zaidi ya mara 4 ndani ya LVG only.
Sometimes wapenzi wa mpira wa Kiafrika ni vigumu kukubali "Their shi.ts stink" kila kitu ni passion bila kuwa realistics, objectives na rationals.Ni vigumu kuona wapenzi wa soka wa kiafrika(timu zote) wakikubali kuwa timu waipendayo haina chance ya kubeba kombe (hasa hasa kabla ligi haijaanza) mfano hivi sasa kuna wapenzi wa Arsenal hivi sasa wako 5000% kuwa tutabeba EPL wana overlook factors nyingine, vile vile kuna wapenzi wa Manchester United wanaamini ni guarantee watabeba kombe, lakini ukiingia forums za wanaosapoti hizi timu kifedha utapata mwanga tofauti na sisi tunavyoona. FYI kuna vitu asemavyo Wenger huwa sivikubali na najaribu kuelewa anavisemaga kwa lengo gani, ni hayo tu.
blah blah blah blah....sasa £53m ni ndogo??!! kawaulize crystal palace watakwambia timu inayotumia £53 ni ndogo au? utazunguka utaongea mengi ila mpira wa sasa bila hela mafanikio ni ndoto. ndio maana mlimnunua OZIL na SANCHEZ kwa hela mlizonunua otherwise umngetafuta SANOGO wengine.
Alichosema babu Wenger ni ukweli mtupu unless kama wewe ni mshabiki mpya wa Man United utapingana na hayo. Enzi za babu SAF Manchester United hawakuwahi kumwaga pesa kama walivyofanya misimu hii 2 (angalieni historia ya usajili ) na bado kuna chance mtavuka £100M mark msimu huu.
Ulichosema ndio tatizo letu wapenzi wa soka wa siku hizi. Tunataka na kuamini kuwa mafanikio ya kimpira yanatokana na kununua /kusajili wachezaji kwa pesa ndefu kila kipindi cha usajili. Liverpool na Tottenham Hotspur wametuonyesha kuwa kumwaga pesa sio suluhisho la kuwa na timu mbovu. Mkuu soma article kwa kutotumia jicho la kishabiki utaelewa Wenger alichosema.
Nakubali £150M imewaletea mafanikio makubwa kuliko £53M, very typical.
Jiulize kwann Barca wanamwaga mpunga kusajili wakina Neymer Suarez Rakitic A. Turan na wanmtaka na PogbaAlichosema babu Wenger ni ukweli mtupu unless kama wewe ni mshabiki mpya wa Man United utapingana na hayo. Enzi za babu SAF Manchester United hawakuwahi kumwaga pesa kama walivyofanya misimu hii 2 (angalieni historia ya usajili ) na bado kuna chance mtavuka £100M mark msimu huu.
says a man who have not won the epl title for the past 11years managing a top club. Wenger has alot to worry in his squad let alone worrying about our transfer policy..Mkuu kasome kila kilichosemwa na Wenger uelewe, usikadhanie "kichwa cha habari" kinachopotosha na 100% ya alichosema Wenger. In fact Wenger ameisifu Manchester United past and present na ameisifu Barcelona vile vile amesema Arsenal wanafuata nyayo ya systems zilizotumiwa na Barca na Manchester United zamani kujaribu kupata mafanikio bila ya kumwaga pesa nyingi.