Mimi naona siyo mbaya kuna improvement kwa baadhi ya wachezaji lakini kwa wengine bado wako likizo...vijana walikuwa hawana presha walerelax zaidi .....pia kuna chansi walipoteza hizo za Magoli zilitumika effectively,naona bado katikat shida ipo.
Safi sana, sasa hilo goli moja walilipataje au ndo tatizo letu lile lile la beki?
Wanamalizia likizo zao mumy...Hahaha mumy siku hiyo usipime kifurushi bila kikomo FB na Wozap zitakoma....
Hapana sio tatizo la beki...
Yaani pale mpira walishaweza kuudhibit sema duu ikatokea mpira ule umeshutiwa kwa mchezaji aliyekuwa kat karibu na goli ambay alikuwa amekabwa vilivyo wakaanguka alafu ule utelezi wa kuanguka ukapeleka mpira nyavuni( hahahaaa najua umepata tabu kunielewa mkuu ila ndo ilivyokuwa)
Hahaha.. nimekuelewa mkuu ngoja nicheki highlights huku nikipata support na hichi ulichoniambia hapa
Mkuu sisi tunacheza na Earth quake,Barca ndo wanacheza na La Galaxy na mpaka sasa tuna goli 3.
Mkuu sisi tunacheza na Earth quake,Barca ndo wanacheza na La Galaxy na mpaka sasa tuna goli 3.
Umeamka poa?
Ni jadithie thijaona game yenu
Ndo nini sijaa amshwa na bacrca wana vheza saa ngapi?
Kuna kitu naona kinaboa kwenye uzi huu...to the extent unakaribia kupeta maana yake...naamini lengo kuu lilikua kutukutanisha mashabiki wa Manchester united tupeshane habari, tujadili mstakabadhi wa temu yetu na wakati flani kuitetea timu yetu inapobidi dhidi ya watani wa jadi e.g liverfoolz na wengine.
Sasa cha kushangaza siku hizi tunapoteza maana naona humu kumejaa watu kujibizana na kupeana personal attacks ambazo hata hazihusiani na mpira na kunawengine wamegeuza uzi huu ni wa kutuma salamu na chit chat na mambo mengine binafsi na yasiyo ya Manchester au mpira kwa ujumla.
Nafahamu kuna wachangiaji wazuri sana humu na wadau wakuu sana wa uzi ambao toka kitambo wapo na uzi lakini siku hizi naona wamepotea ghafla..pengine wanaona uzi unaanza kupoteza maana.
Ni rai yangu kwa sisi wadau na wapenzi wa Manchester na wa uzi huu ebu turudishe maana halisi ya uzi huu..kila mtu anauhuru wa kuongea na kuchangia atakavyo lakini uhuru bila mipaka ni fujo sasa.
Ni mtazamo wangu huu
Kuna dalili kubwa za Di Maria kuuzwa
Umeona eeh!! Vyombo vingi vya habari vimereport hiyo issue na wengine wanasema deal liko karibu kuwa closed. Sasa sijui ukweli ni upi? Sipend kabisa hilo litokee.
Kuna habari za Pedro kutua Man United