Manchester United (Red Devils) | Special Thread

we ndorobo kuna live streaming. dola 45 unakula mechi yoyote unayotaka mwaka mzima in HD, kwenye computer,tablet,ipad au simu,,, watu wame suscribe na skysports na bt sports. we si umezoea super sports?? you have a long way to go kiddo!!!!!

Asante mkuu asante sana
 
teh teh teh... Someone is teaching me about live streaming.. teh teh teh
 
alivefootball streaming wamelink na youtube, you can watch matches there LIVE.... mkuu vitu kama hujui kaa kimya unazidi kuonekana mshamba...

Hata usimalize nguvu zako kumjibu huyu ana bifu zake na cute b ,achana naĺo linatafutia watu ban.
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh teh teh

Unaweza kubadilika fasta kulingana na mazingira..

Sasa apo cha ajabu nini? Ebu acha kujiabisha.
Nilishakuambia personal attack zitakuua.
Mimi huwezi kunizima ni moto wa kuotea mbali.
Ongelea hoja mambo ya personal achana nayo nakucheki muda tuu.
Pekua comment zangu zote ukimaliza kanywe chai uende kazini uachane na ushamba
 
alivefootball streaming wamelink na youtube, you can watch matches there LIVE.... mkuu vitu kama hujui kaa kimya unazidi kuonekana mshamba...

teh teh teh teh

Unachekesha sana.. Unaweza kuniambia web yeyote unayostream video ambayo hautumii youtube??

The question is are u watching it direct from youtube?? Wewe na huyo mwenzako ndio wakwanza duniani kuwasikia mnaangalia mpira live from Youtube.. Hivi unajua hata Youtube ni nini??? hahahaha aiseee
 
Hata usimalize nguvu zako kumjibu huyu ana bifu zake na cute b ,achana naĺo linatafutia watu ban.

Yaan apo naliona tuu linavyonipekua. Lijinga kweli. Eti mamy mtu akikutongoza ukamkataa ndo bifu moja kwa moja? Utoto bhanaaa
 
Last edited by a moderator:
Yaan apo naliona tuu linavyonipekua. Lijinga kweli. Eti mamy mtu akikutongoza ukamkataa ndo bifu moja kwa moja? Utoto bhanaaa

Hahaha nicheke miye ndo maana haaishi kukuchokoza, tupa kule achana nalo.......m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…