Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Wazee wapo manwer kule kuna vija tupu umeona preseson vija wadogooo wako poa sana karibu ungalie mechi zetu utapenda
 

Ukipenda boga unapenda na ua lake mama, Manga ML hebu twende liva kwetu baba, mweeeeh mbona ninalo jamani, hii timu duuuh!
 
Last edited by a moderator:
Nimeangalia mechi vs club America(recorded). dah tunahitaji beki wa kati sana, wangekaa vizuri wangetupiga hawa, wamecreate clear goal chances kama 3 ivi.
 
Nifuate tu mpz wangu kwanza ukiwa huku utakula mema ya nchi balaa si unajua tena pesa ipo na mapenzi yapo ...

Hapo tu kwenye bold ndo ninapokupenda darling.. Ila kuhusu pesa hata kule "ninakotaka kuhama" zipo..
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa haaa.

wew niheshimu mume wangu RRONDO yupo huku.

Ooh huyo ndio mume wa hili thread!! Rene jr ni wa thread gani? Viol je? Na....... list ndeefu hata nashindwa kuandika, okey mama kijacho, sasa sijui mimba hiyo nayo ni ya nani?
 
Last edited by a moderator:
Ooh huyo ndio mume wa hili thread!! Rene jr ni wa thread gani? Viol je? Na....... list ndeefu hata nashindwa kuandika, okey mama kijacho, sasa sijui mimba hiyo nayo ni ya nani?

Mweeeeh!!!!! Naota au ati unasemaje ana....??? Hao ni mabest tu anayejulikana ulimwengu mzima ni mmoja tu.....
 
Last edited by a moderator:
LVG kasema kuna suprise signing ya striker.
Hadi sasa kasema hakuna media iliyopata clue kuwa ni striker gani atasajiliwa.

aisee!!inaweza kuwa ibra zlatan.na tutakuwa suprised kwa kweli.
 
Hapana everlenkiiiiiiiii si unajua shost anaachwa leo ndo maanaa ana stress.
Lol ngoja nifunge mdomo akina herrera wasije wakanuna tunawajazia seva buleeee

Natulale sasa kesho kuna bonge la mechi asubuh saa 12 doooh!!! Muda wa kazi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…