Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa apo ni nimedhihirisha utoto wako complete.
Too young na akili bado za kitoto.
Kwani enzi za furgason tulikuwa hatufungwi? Yaan wewe huna hoja zenye mashiko kula kona

Enz za furgerson mlikua mnafungwa lakini alianza msimu na kumaliza msimu akichukua ubingwa na timu mbovu ambayo hakufikiria new signings.... Aliweza kumove mountains na kikosi kidogo ambacho kilidhihirisha sifa ya man u kua ni wachezaji wasio kata tamaa lakini sasa imekua ilikuaga simply becoz bench la ufund limefariki dunia
 

Umeongea kiume sana n for that respect.
 

Kijana tulia, timu imeanda go transition period..mambo mengi yamebadilika bwana mdogo.. inahitaji muda kujenga timu sio kupitia shortcut kwamba mara moja tuu then umepata mafanikio..
Kama wewe ni mwana man u mwenzetu bora uwe mvumilivu..Season
2015/16 mybe timu inaweza kufanya vizuri..
uache maneno ya shombo
 

Superb
 

unamaanisha Sir Alex Ferguson???
 

wingi wa makamasi. jifunze basi kuandika ili twende sawa maanake hapa tunatumia maandishi.
 
Reactions: Nzi
RRONDO wewe juzi si ndo uliandika sasa hivi midfield wa kumwaga mtapata magoli mengi?

Au ni Belo? Au herrera? Nshasahau...hongereni kwa kufunga mengi asubuhi hii.

Eid Mubarak...teh teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
wingi wa makamasi. jifunze basi kuandika ili twende sawa maanake hapa tunatumia maandishi.

Hahahahaaa
...nashukuru kwa kumsahihisha, anakurupuka huyu, cdhani hata kama kapiga mswaki....endelea kumsahihisha mkuu, atajua tu lugha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…