Shukrani sana Ever,
Nshakuonaga sehemu huko na huko nikawa najipitia hivi> kumbe ni mwenzangu kitimu kasoro kimwili..!!! Momieeeeee nimemsikia
Papupi akikuagiza soda plz mwambie
cute b anajua kinywaji nachotumia. Nashukuru sana kupata wenyeji wakarimu kama ninyi... oooohhhh lakini sishangai hii ndo sera makini ya Red deeeeeeeeeeeviiiiiiiiiiilllllllllll...!!!
Mkuu hebu panga kikosi cha kesho hapa.
BACK TANGANYIKA