Katika hizo mechi unazozita worst kwa msimu huu wa LVG. Je vp kuhusu ile hali ilivyokuwa kipindi cha DM??....Nikisoma comment zako juu ya LVG napata kuelewa yakuwa ulitaka/unataka LVG asaidie timu faster ilirudi kile kipindi cha Glory enzi za SAF kitu ambacho ni ngumu sana mkuu....Binafsi mi simkubali kabisa van gaal, last year tumespend alot only to finish fourth( thanks to Liverpool for being in such a bad form), msimu huu tumepata points kimazabezabe sana
draw against w.bromich (2-2) blind goal 87'
draw against chelsea (1-1) van persie 90+4'
southampton tuliwafunga 2-1 but mtakubaliana na mimi its one of our worst matches
draw against west ham (1-1) blind 90+2'
win against newcastle (1-0) young 89'
alianza na mfumo wa 3-5-2 haukufanya kazi, he kept on forcing it making us loose points in the process
first five matches
loose against swansea 2-1
draw against sunderland 1-1
draw against burnley 0-0
win against QPR 4-0
loose against leicester 5-3
mashabiki wakapigia kelele sana huu mfumo, wakaanza kuimba 442 on the stands. van gaal got some senses akabadilisha. he is based on possession football, but man utd was built based on attacking football. ikifika mahali washabiki wanaimba ATTACK ATTACK ATTACK, you keep wondering who is the coach here??? Premier wanacheza nasty football only to get results chelsea, stoke city to mention a few, possession football doesnt work here amuulize arsene wenger atamwambia... we had 71% ball possession only to loose against chelsea.
binafsi mimi napoteza matumaini na van gaal, with the current squad i can see alot of managers doing better than him.
hayo ni mawazo yangu nikiwa kama supporter wa man utd. nakaribisha mwawzo yenu wadau.
and by the way, can someone explain to me van gaal's philosophy maana iv heard that word every single interview he had mpaka leo sijaelewa!!!
Moyes alikua na akina vidic, evra, ferdinandmoyes was not that bad(relatively) ukimcompare na van gaal. moyes 64 points van gaal 70points not to mention moyes never had di maria,ander herrera,luke shaw,marcos rojo,daley blind and radamel falcao. mata for the first half of the season and de gea on his top form.
I am actually HAPPY for you guys...!
Just sad for the players who signed for you guys!!!!
Binafsi mi simkubali kabisa van gaal, last year tumespend alot only to finish fourth( thanks to Liverpool for being in such a bad form), msimu huu tumepata points kimazabezabe sana
draw against w.bromich (2-2) blind goal 87'
draw against chelsea (1-1) van persie 90+4'
southampton tuliwafunga 2-1 but mtakubaliana na mimi its one of our worst matches
draw against west ham (1-1) blind 90+2'
win against newcastle (1-0) young 89'
alianza na mfumo wa 3-5-2 haukufanya kazi, he kept on forcing it making us loose points in the process
first five matches
loose against swansea 2-1
draw against sunderland 1-1
draw against burnley 0-0
win against QPR 4-0
loose against leicester 5-3
mashabiki wakapigia kelele sana huu mfumo, wakaanza kuimba 442 on the stands. van gaal got some senses akabadilisha. he is based on possession football, but man utd was built based on attacking football. ikifika mahali washabiki wanaimba ATTACK ATTACK ATTACK, you keep wondering who is the coach here??? Premier wanacheza nasty football only to get results chelsea, stoke city to mention a few, possession football doesnt work here amuulize arsene wenger atamwambia... we had 71% ball possession only to loose against chelsea.
binafsi mimi napoteza matumaini na van gaal, with the current squad i can see alot of managers doing better than him.
hayo ni mawazo yangu nikiwa kama supporter wa man utd. nakaribisha mwawzo yenu wadau.
and by the way, can someone explain to me van gaal's philosophy maana iv heard that word every single interview he had mpaka leo sijaelewa!!!
Kama msingenifukuza ningesema jambo.... patrickkkkkky upo sahihi ila sisi mashabiki wa timu pinzani tunampenda sana van Gaal!
Pia mkuu unaposema tuwashukuru Liver umekosea sana kila mtu kavuna alichopanda,hakuna aliyesaidiwa kuwepo pale alipokuwepo,kila timu ni kwa juhudi zake na imefika ilipofikia,
offcoz tulishinda kibahati Bahati
lakini haikuwa bahat ni kazi watu walifanya,
ukiangalia hata mechi za mwishoni za Chelsea ilikuwa hivyo hivyo ushindi wa Bahati.......
kikubwa tunahtaji kuufurahia mpira+Magoli, tuweke subira tutafika tunapohitaji.....
Teh Teh Mtani ntakubishia mpaka Yesu arudi siwezi kushukuru hilo ni dhahiri kila mtu kavuna alichopanda,mngefanya vizuri mngelikuwa juu ya yetu, sema tu mwenyewe tumekupita kwa point ngapi? Ni bahati hiyo? Nakumbuka hata sisi tulifika mpaka nafasi ya 3 na tungejitahid had nafasi ya pili tungechukua kiasi fulani ilikuwa hadi tishio magazine yakaanza Udaku wao can MANU win for EPL? Nasema kwa sauti kubwa tupo pale tulistahili kuwa pale na hicho ndo tulichokivuna baada ya kupanda. Tusingezembea hakika tungefika mahali pazuri zaidi.Teeeehe teeehe mtani kuwa mkweli shukuru our bad form
Mtani wangu labda nimekosea kuandika ningesema the so called Bahati......hakuna Bahati bana labda kwenye kupiga penati....lakini nayo si Bahati lazima kuna mahali umezembea ukiikosa,ukipata wewe ni mzuri.....Nashkuru unakubali hilo
Kwanini tena unaikataa bahati?
hahahah sijafananisha tumejifunza kwa mfano.....hata wewe the so called Bahati ilikupitia ulikoswa koswa na wale madogo ukachomoa kwa moja...lolUmeanza jifananisha na kina Ntuzu
yaani naona msimu unachelewa natamani hata kesho tuanze........Mimi nakuombea uzima ili ujionee kwa macho yako mwenyewe.Nasubiri mtakapofika mtani
Binafsi mi simkubali kabisa van gaal, last year tumespend alot only to finish fourth( thanks to Liverpool for being in such a bad form), msimu huu tumepata points kimazabezabe sana
draw against w.bromich (2-2) blind goal 87'
draw against chelsea (1-1) van persie 90+4'
southampton tuliwafunga 2-1 but mtakubaliana na mimi its one of our worst matches
draw against west ham (1-1) blind 90+2'
win against newcastle (1-0) young 89'
alianza na mfumo wa 3-5-2 haukufanya kazi, he kept on forcing it making us loose points in the process
first five matches
loose against swansea 2-1
draw against sunderland 1-1
draw against burnley 0-0
win against QPR 4-0
loose against leicester 5-3
mashabiki wakapigia kelele sana huu mfumo, wakaanza kuimba 442 on the stands. van gaal got some senses akabadilisha. he is based on possession football, but man utd was built based on attacking football. ikifika mahali washabiki wanaimba ATTACK ATTACK ATTACK, you keep wondering who is the coach here??? Premier wanacheza nasty football only to get results chelsea, stoke city to mention a few, possession football doesnt work here amuulize arsene wenger atamwambia... we had 71% ball possession only to loose against chelsea.
binafsi mimi napoteza matumaini na van gaal, with the current squad i can see alot of managers doing better than him.
hayo ni mawazo yangu nikiwa kama supporter wa man utd. nakaribisha mwawzo yenu wadau.
and by the way, can someone explain to me van gaal's philosophy maana iv heard that word every single interview he had mpaka leo sijaelewa!!!
[/color]
Mnampenda MNAMUOGOPA? Ni tishio Kwenu pamoja na ugeni wake na ubovu wa timu Chelsea tulitoka draw then mkafunga moja,Liver round zote kamchapa,Arsenal round ya kwanza kachapwa ya pili draw, Man city sikumbuki ya kwanza ila ya pili kachapwa......
mkuu hapo tupo pamoja. naona ameshajihami kwamba man u bado hawajawa title contenders msimu huu. i hope anacheza mind game kwa makocha wengine ila kama anamaanisha then i dont know what to think of himYale yale ambao tunaongea hapa kila siku ,Kama ni mshabiki wa Man United umewahi kuona hizi game
Man United 2 Bayern Munich 1 (1999-hii sina haja kuilezea)
Juventus 2 Man United 3 (1999-game ambayo imefanya Roy Keane anaheshimiwa na mashabiki wa United licha ya ugomvi wake na SAF)
Man City 3 Man United 4 (Owen anafunga dakika ya 95)
Man United 2 Man City 1 (RVP anafunga freekick dakika ya 92)
Spurs 3 United 5
Manchester United wana historia kubwa ya kubadilisha matokeo dakika yeyote na hii hali iliondoka kabisa wakati wa Moyes,tulikuwa tukitangulia kufungwa ndio biashara imekwisha at least LVG ameanza kurudisha hiyo hali
Again unakumbuka Man United ya SAF iliwahi kupata hivi vipigo
Chelsea 5 United 0
Man United 3 Blackburn 4
Man United 1 Man City 6
LVG alifanya makosa mengi alivyokuja but jinsi siku zilivyokwenda alikuwa anayarekebisha na msimu uilipita
1.Kutumia 3-5-2 -hili lilikwisha
2.Kuwaweka benchi Herrera na Mata-nafikiri uliona baada ya hawa kupewa nafasi
3.Kushindwa kumtumia Di Maria vizuri-hili bado
4.Substitution zake zilikuwa mbovu
Pia kuna mambo ambayo ameyafanya
1.Kusaidia kupata baadhi ya wachezaji ambao ingekuwa ngumu kuwapata (Depay,Bastian,Blind)
2.Kuinua viwango vya wachezaji kama Smalling,Young,Fellaini ambao walionekana magarasa
3.Amejitahidi kuondoa wachezaji wengi ambao mwishoni hawakuwa na msaada(Nani,Buttner,Cleverley,Anderson,Rio)
Umezungumzia kufungwa na Chelsea,hao wakiamua kupaki basi lao hata kina Messi hawafurukuti,Jiulize miaka 20 iliyopita Loserfool wamemaliza mara ngapi juu yetu na unasahau kuwa chini ya LVG tuliwafunga Loserfool kuanzia pre-season kule Marekani na kwenye ligi tukawafunga mechi zote.
Huu ndio mzimu ambao tunaweza kufanya assesment kwa LVG,last season tulikuwa na Carick tu alivyoumia tukapata taabu sana ikamlazimu kumpanga Rooney hiyo nafasi ndio maana amewaleta Morgan na Bastian,tumepata beki wa kulia.Msimu uliopita majeruhi yalitusumbua sana ndio maana anajitahidi kununua wachezaji kuondoa hilo tatizo.
mkuu hapo tupo pamoja. naona ameshajihami kwamba man u bado hawajawa title contenders msimu huu. i hope anacheza mind game kwa makocha wengine ila kama anamaanisha then i dont know what to think of him
Ukiangalia historia yake huwa anabeba kombe msimu wake wa kwanza alifanya hivyo Barca na Bayern kwenye EPL ni tofauti kabisa na kibaya ni kuwa ameikuta timu kwenye kipindi kibovu,baada ya SAF kuondoka.Hapo hata angekuja Morinyo,Pep au Anceloti ilikuwa lazima apitishe fagio la kutosha na kuanza kutengeneza upya
Kwa Mou sio kweli..sema wengine.
Sio ukweli nini?
Kwamba Morinyo angepata mafanikio na wachezaji kama Valencia,Jones,Smalling,Rafael,Evans,Young ?
Teh Teh Mtani ntakubishia mpaka Yesu arudi
sema tu mwenyewe tumekupita kwa point ngapi?
yaani naona msimu unachelewa natamani hata kesho tuanze........
Mimi nakuombea uzima ili ujionee kwa macho yako mwenyewe.
Yes exactly
Hakuna chakuogopa mkuu....na kwann iwe hivyo....mapema yote ??wadau possible uefa playoff opponent ni cska,lazio,brugge,sporting,monaco,young boys, panathinaikos,rapid vienna.
dah Mungu atuepushe na lazio au monaco wasije haribu sherehe mapema