Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  • Aston Villa fear striker Christian Benteke will be sold to Manchester United by the weekend as Louis van Gaal is set to activate a £32.5m release clause in his contract.
  • Furious Louis van Gaal has slammed goalkeeper Victor Valdes' attitude and wants to boot him out of Manchester United.

Wakuu huyu Benteke anafaa kwa timu kama yetu??
 

Siombei hata kidogo hili litokee, huwezi ukamuuza Rvp alafu ukamchukua huyu.. hio ni sawa sawa kwenye biriani ukaweka mlenda
 
Pamoja na misukosuko yote bado tuna thamani kubwa na majirani Hawapo kabisaa hata kny ishirini bora.....
 

Attachments

  • 1437032581809.jpg
    49 KB · Views: 104

Benteke ni mzuri lakini si material yetu Mara mia tubaki na Chicharito.......sijaelewa kwanini LVG hamuoni Chicha.
 
Benteke ni mzuri lakini si material yetu Mara mia tubaki na Chicharito.......sijaelewa kwanini LVG hamuoni Chicha.

Yah, ila jana kamzungumzia wakati anawatambulisha wachezaji tuliowasajili kwa waandishi wa habari.. anasema mwanzo alikua na strikers wengi ndo maana akawaachia welbeck na chicha ila baada ya falcao na rvp kuondoka anaona chicha atakua msaada, na amesema anatarajia kujiunga na wenzake kwenye tour 25 august pamoja na akina rojo na di maria
 

Ohhh!!! Good news hii....
 
Leo LVG amefikisha mwaka kamili toka ajiunge na MU, tumtakie kila la heri katika mwaka mwingine anaouanza atimize kile tunachohitaji, so far his record for the first year its not bad....amejitahidi kwa kweli......Congratulation LVG be wise and have more knowledge on how to score more goals,we need trophies now....#GGMU
 

Attachments

  • 1437035445372.jpg
    54.6 KB · Views: 111
  • 1437035483970.jpg
    78.3 KB · Views: 108
mkuu valdes amecheza reserves mechi kama 5 hivi, ata twitter ameweka picha akiwa na reserve squad. lets face it van gaal have problems, am just not sure if he is the right man for the job...
 
Binafsi mi simkubali kabisa van gaal, last year tumespend alot only to finish fourth( thanks to Liverpool for being in such a bad form), msimu huu tumepata points kimazabezabe sana
draw against w.bromich (2-2) blind goal 87'
draw against chelsea (1-1) van persie 90+4'
southampton tuliwafunga 2-1 but mtakubaliana na mimi its one of our worst matches
draw against west ham (1-1) blind 90+2'
win against newcastle (1-0) young 89'
alianza na mfumo wa 3-5-2 haukufanya kazi, he kept on forcing it making us loose points in the process

first five matches
loose against swansea 2-1
draw against sunderland 1-1
draw against burnley 0-0
win against QPR 4-0
loose against leicester 5-3

mashabiki wakapigia kelele sana huu mfumo, wakaanza kuimba 442 on the stands. van gaal got some senses akabadilisha. he is based on possession football, but man utd was built based on attacking football. ikifika mahali washabiki wanaimba ATTACK ATTACK ATTACK, you keep wondering who is the coach here??? Premier wanacheza nasty football only to get results chelsea, stoke city to mention a few, possession football doesnt work here amuulize arsene wenger atamwambia... we had 71% ball possession only to loose against chelsea.

binafsi mimi napoteza matumaini na van gaal, with the current squad i can see alot of managers doing better than him.
hayo ni mawazo yangu nikiwa kama supporter wa man utd. nakaribisha mwawzo yenu wadau.

and by the way, can someone explain to me van gaal's philosophy maana iv heard that word every single interview he had mpaka leo sijaelewa!!!
 

Unataka kocha gani aje kuifundisha united?
Wakati wa moyes ulikuwa wapi?
 
mkuu valdes amecheza reserves mechi kama 5 hivi, ata twitter ameweka picha akiwa na reserve squad. lets face it van gaal have problems, am just not sure if he is the right man for the job...
Mkuu van gaal ni mtu mwenye msimamo na anataka ufuate sheria zake yeye kama mwalimu wako sasa hapa ndio anapopishana na wachezaji baadhi wanaojifanya vichwa, angalia kilichokua kinatokea barca kati ya messi na Enrique, kocha alisimamia msimamo wke kuwa messi atokee pembeni, bdy messi kakubali mambo yakaenda sawa, scholes 2001 alishawahi mkatalia fergie kucheza kwenye C1C but mzee alimsamehe maana alijua bado anahitajika, beck na Keane walikua wanazinguana na mzee lakin walikua na umuhimu bado kwenye timu, sasa huyu valdes yeye ilibidi awe mpole maana hata huko U20 bado baadhi ya mechi alizokua anacheza alikua anazingua + umri wake,
Nitachomlaumu van gaal ni ku expose mambo hadharani mbele ya waandishi wa habari ili bidi amalizane nae kimya kimya,otherwise hakuna aliye juu ya timu na kila mmoja anatakiwa afuate sheria na falsafa za mwalimu wake hasa kwa kipindi hiki jamaa anapojenga timu
 
Unataka kocha gani aje kuifundisha united?
Wakati wa moyes ulikuwa wapi?

moyes was not that bad(relatively) ukimcompare na van gaal. moyes 64 points van gaal 70points not to mention moyes never had di maria,ander herrera,luke shaw,marcos rojo,daley blind and radamel falcao. mata for the first half of the season and de gea on his top form.
 
Falsafa kubwa ya van gaal ni kufuata kile anachokitaka, uta enjoy maisha rivaldo(kama nitakua sawa) barca aliondoka sababu akajifanya mkubwa kuliko mwalimu, Rooney alifosiwa kucheza kama mid but alikubaliana nae na mambo yakaenda sawa, tiger alikua winger Bayern but kabadilishwa na huyu mzee now ni mid, hujiulizi kwann huyu tiger kafossi kuja kucheza chini ya van gaal? Anamjua rojo na Herrera Mara nyingi huwa wanaongea kuwa ukitaka kuendana na huyu mzee we fuata anachokuagiza uta enjoy maisha lakiki ukiwa mkaidi utakatwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…