mkuu gaitan asikupe taabu, ni mwaka wa 4 kama sio 5 tunakua linked nae, huu mchezo wakala wake ndiye anaeucheza kumtafutia soko LA kuja utd, ni kama gourcuff na arsenal enzi hzo, back to your guestion nimewahi muona mechi kama tatu japokua yalikua marudio ni wakawaida sana, winger ya kulia, Mara kumi kuwa na Luis nani kuliko huyu, (mawazo yangu)