Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu hivi deal la Morgan shneriderlin tayari au bado ..Maana tukimpata itakuwa deal sana kwetu aje kumsaidia Carrick.
 
Man Utd baada ya kuonekana kumkosa Clyne sasa imehamishia nguvu zake kwa beki wa Everton, Seamus Coleman ili kuja kucheza nafasi ya beki wa Kulia.

Source: Sky Sports
 
Ningeshangaa...maana hata Megastore bado wanauza za msimu ulioisha...ila naamini hazipo mbali kutoka...nafikiri watazionyesha kwenye tour Marekani..

Nazisubiri kwa hamu hata mimi
 
Phil Jones sign new contract until 2019
Jones: "I'm delighted to have signed a
new deal. This is a great club to be part
of and I can't wait to start the new
campaign."
Louis van Gaal on Jones' contract: "Phil is
a talented footballer with great versatility
and can play in a number of positions."
 


Ya Ramos bado hayajaisha na Sasa ni habari baada ya habari..!!!
Ndo tuseme nani kamshauri huyu jamaa??⭕️
 
Should've been between a rugby player or MMA fighter not a footballer

Hahahahahaha ............. you are right!', manure na michezaji yake bhana!' bado Valencia na A.young kuongezewa mikataba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…