ratiba ya mashindano ya lile kombe la ulaya ambalo barcelona kachkua juzi kati lakini ni ratiba ya hatua ya mtoano kwa zile timu zilizoshika nafasi kama ya manchester united!ndio tunaanzia huko,tukifungwa tunatolewa asubuisubui!
usipoelewa hayo maelezo najiua!
Manchester IPO hatua ya play off hatuanzii hapa, atakae pita kwenye hii hatua ndio tutakutana nae kwenye play offratiba ya mashindano ya lile kombe la ulaya ambalo barcelona kachkua juzi kati lakini ni ratiba ya hatua ya mtoano kwa zile timu zilizoshika nafasi kama ya manchester united!ndio tunaanzia huko,tukifungwa tunatolewa asubuisubui!
usipoelewa hayo maelezo najiua!
Hahahaha lool
ratiba ya mashindano ya lile kombe la ulaya ambalo barcelona kachkua juzi kati lakini ni ratiba ya hatua ya mtoano kwa zile timu zilizoshika nafasi kama ya manchester united!ndio tunaanzia huko,tukifungwa tunatolewa asubuisubui!
usipoelewa hayo maelezo najiua!
Nyie hata kupita hamtapita!' ...........
hongera mjukuu wa shekh yahaya
ahiitaji kuwa shekh yahaya kujua kwamba manyua haitatoboa!' bora mngewaachia hiyo nafasi spurz.......... natanguliza pole zangu.
mlikuwa na miaka miwili ya furaha mnafurahia tulivyopoteza makali yetu...sasa mtaanza kutuchukia tena kama zamani!tupo tayari kuwaona mnatuchukia tena=tunaanza kuwararua tena na tena na tenaNyie hata kupita hamtapita!' ...........
Unatanguliza kwenda wapi?
Manyua ....ndio nini...?kwenda kwa manyua ...........
mlikuwa na miaka miwili ya furaha mnafurahia tulivyopoteza makali yetu...sasa mtaanza kutuchukia tena kama zamani!tupo tayari kuwaona mnatuchukia tena=tunaanza kuwararua tena na tena na tena
Unatanguliza kwenda wapi?
Huwa unapata wapi nguvu za kubishana na watu kama hawa??? Mara ya kwanza si walisema tutaishia nafasi ya 7, Leo him wameanza mengine
kwenda kwa manyua ...........
whaaat?!' makali??? kwa huyo kocha wenu kisoda?!' Labda muanze kuwahonga tena marefa!' ............ mtaturarua kw kikosi gani mlichokua nacho!' hicho cha kina Valencia na A.Young hahahahaha......
Manyua ....ndio nini...?