Huyu Van Gaal naye amezidi kutupandisha pressure, wakati wa ligi pressure ilikuwa juu.Angalau tumekamata nafasi ya 4 pressure ilishuka,sasa anataka pressure zetu zipande tena wakati huu wa usajili.
ratiba ya mashindano ya lile kombe la ulaya ambalo barcelona kachkua juzi kati lakini ni ratiba ya hatua ya mtoano kwa zile timu zilizoshika nafasi kama ya manchester united!ndio tunaanzia huko,tukifungwa tunatolewa asubuisubui!