McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Inaonesha bado hujui timu gani ya soccer ina worth more than a BILLION $$$
Mkuu kumbuka msimu wa mwisho na Mzee Fergie 2012-2013 tulipigwa na Everton lkn tulichukua Ubingwa.
Teheee tehee unaweza kua tajiri ila ukawa bahili pia kwani hatujui ambao wana ubavu sokoni acheni kutuongopea nani hamuogopi Perez hapa akiamua kugonga hodi nyumbani kwako.
chelsea might be the champions but every team looks for their match against utd when the fixtures are announced
chelsea signing falcao, so coudrado has got someone to talk to on the bench,
good idea mou
Na raha ya kushabikia united unapewa nini?
Acha kebehi, Falcao ni jembe ambalo hamkujua jinsi ya kulilimia! Hamtaamini litakapoingia katika mikono ya kocha bora wa msimu!
Na raha ya kushabikia united unapewa nini?
Burudani...
Mwambie huyo kocha bora atuoneshe kwanza coudrado wa fiorentina ndio ajitape kutuonesha falcao wa Porto & a.Madrid
Makombe kabatini..
Raha ya kushabikia arsenal?
Sawa, makombe kabatini enzi zile! na sasa je?