Watch da space
Duh Ed Woodward alisema aya akiwa kavuta bangi za wapi haaaahaaa nawaza mzee Perez sijui atasemaje.
Inaonesha bado hujui timu gani ya soccer ina worth more than a BILLION $$$
Watch da space
Naona zao letu CR7 kaibeba vyema nchi yake kaondoka na hat-trick yake big up kwake.....