Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Una akili sana ukiwa na ukuta mzuri pengo la DDG halitoonekana kabisa.

 
Hahahahaaa, aya bhana

Hadi anasaheme dili nono la mkwanja mrefu ambao angekuwa ndo kipa anayelipwa zaidi kuliko wote kisa puchi!! Hahahaha!!! Wanawake juu!!!......ama kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai.....
 

Niniiii? Ndo sababu??? Hahahaa kweli P ni hatar
 

mkuu mi ninacho ona upate CB jambazi lenye roho mbaya (otamend/hummels) mmoja wapo wa kumuongoza smalling, tupate RB wakusaidiana na valencia (tunahusishwa na van der weil) tupate DM mzuri mwenye mapafu ya mbwa kusaidiana na carick 7bu ya umri wake na majeruhi, upande wa wingers tupo vzr na kama RVP ataondoka itabidi tupate mbadala wake kusaidiana na rooney mbele, CL still tupo far lakn PL we can compete na man city na chelsea, arsenal wenyewe niwashiri tu hatuna haja nao
 

Like like like..... Hapa wewe ndo umeongea kisayansi ya soka vizuri...... Mimi nakwambia hata CL kwenyewe huko tutapita tukifanya usajili wa maana tukaongeza ntu sahihi United hatukamatiki......... Si unaona tu na kaudhaifu ketu tulitishia amani sana tukikamilika itakuwaje??......... Hivi zile friend match zinaanza lini tuziangalie kwa umakini kama makosa yetu yamerekebishwa...... Msimu ujao naskia harufu ya kombe kabisaa sijui ni lipi lakini naliona.......
 
Hawa RMA baada ya kuvuna matunda ya kijana wetu CR7 baadae kijana Chicharito naye akawang'arisha robo fainali sasa wameamua kutufanya sisi academy yao.

Hahahaha na kweli sie ndo academy yao hv sahv van gaal anamuwinda nani maana sjapata update za man u kwa mda kdg
 

Hahahahhahaha oyeee
 
Afu mamy ngoja nishtaki.
Ile kazi ya kudeal na Ntuzu ishakuwa ngumu kwangu.
Ntuzu anataka ukimwelewesha kidogo umpe na busu la kumezea mi siez tena


Kwani busu linashida gani na wewe mrembo? Lete hilo busu
 

Attachments

  • 1433929760887.jpg
    14.8 KB · Views: 84
Last edited by a moderator:
Naskia falcao anahusishwa na kutimkia Chelsea? ni kwel wandugu
 

friend match tuna anza tar 17/7, tar 24/7 kama kumbukumbu yngu ipo sawa tutacheza na barcelona itakua ni friendmatch ya pili
 
Hahahaha na kweli sie ndo academy yao hv sahv van gaal anamuwinda nani maana sjapata update za man u kwa mda kdg

kuhusu updates mkuu kila siku tunahusishwa na watu wapya na cha ajabu hadi haters wanakodolea macho tuna mtaka nani, transfers za man u zinafuatiliwa na kila mtu hata kuliko transfer za timu zao, we pitia hapa kila siku utakua unazipata
 
Naskia falcao anahusishwa na kutimkia Chelsea? ni kwel wandugu

tetesi zake zimetulia kdgo kwa sasa, ila mara ya mwisho ilionekana ndio anaenda huko,
wakala wake (mendez) alivoulizwa kuhusu falcao kuenda chelsea alisema "falcao anaweza kuenda timu yoyote isipokua city na liverpool"
 
kuhusu updates mkuu kila siku tunahusishwa na watu wapya na cha ajabu hadi haters wanakodolea macho tuna mtaka nani, transfers za man u zinafuatiliwa na kila mtu hata kuliko transfer za timu zao, we pitia hapa kila siku utakua unazipata

Amen to that mkuu nmefanya kusubscribe kabsa. sisi ndo tunapendwa sana had na haters Lazma watuongelee GGMU natamani irud man u ileee ya kina scholes, giggs, Beckham, keane hao tu walifanyaga kina viera,henry, beckamp wapate shda maskini
 
Naskia falcao anahusishwa na kutimkia Chelsea? ni kwel wandugu

Wengi wanaongea hivyo kwa sababu Agent wa Mourinho ndo huyo huyo Agent wa Falcao...... Sidhani kama ni kweli anahitajika kule ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…