Siyo misuses yaani hiyo ndo matumizi yenyewe ya pesa........
#Haters mutuache tupumzike timu ilikuwa inajengwa katika kujenga gharama hazikwepeki kuna gharama za juu na za chini kabisa kulingana na market uliyoenda na speed uliyokuwa unaenda nayo BTW mliokuwa na uses nzuri mmechukua kombe na mmemalizaje???????........ Mutuache tupumzike