nikikumbuka siku ile na bayern wakat nacheki game kwenye vibanda umiza ilikuwa bayern vs man u pale arena yule wilbek akaanza kuwanyanyua man daaah waliinuka kwalishangilia ile mbaya sasa ile wanataka kukaa bayern wakaanza wao kuingia nyavuni yaniilikuwa furaha ya dakika 1 FT MAN 1 BAYN 3