Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kombe mshachukua.....! sasa mnataka kuja kuchukua na wanawake wetu!!! haikubaliki kila siku nawaangalia tu mnavyomsumbua everlenk sasa hivi naona mnaanza kwa my cute b patachimbika hapa!!!

Hawa hawaambulii kitu wanapoteza tuu mawazo wachafue tuu boxer zao za blue ndo wanaridhika.....wahurumie tuu maana kule kwao hawana wadada b5-click na Ntuzu mtakoma tatizo mmezidi kuwa na sura zinazotisha
 
Last edited by a moderator:

ipo siku utazifua.. haki ya mama naapa... hahahah.. sura hz co mbaya ni sura za kazi mamitoh.. unataka tuwe ming'ao ili vitani tufe mapema!?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah.. ntawamiss wanangu humu... ila ndo ukweli hao everlenk na cute b wanapenda mabao kwan huwa yanawafanya wafurahi... mtafuten mtu kama DIEGO..

Raha ya mechi bao...

Akuuuuuu mimi napenda magoli tuu ya RRONDO ya Chelsea siyataki....mcheza kwao hutunzwa...nisije nikakosa bara na pwani
 
Last edited by a moderator:
Akuuuuuu mimi napenda magoli tuu ya RRONDO ya Chelsea siyataki....mcheza kwao hutunzwa...nisije nikakosa bara na pwani
PRONDO hawez dk 90 anaumwa 3-5-2.. me natumia 4-2-3-1 njoo upate radha ya soka huku.. pwani!?? hee tufaidi wote hiyo pwani maana nimeiochoka bara...
 
Last edited by a moderator:
kombe mshachukua.....! sasa mnataka kuja kuchukua na wanawake wetu!!! haikubaliki kila siku nawaangalia tu mnavyomsumbua everlenk sasa hivi naona mnaanza kwa my cute b patachimbika hapa!!!

Hawana lolote hawa wamezoea umafioso hadi kwa wanawake...... Kwanza hawana pesa hovyo kabisa kidogo Mentor lakini naye sasa mhhhh!!!!!.........ningekwambia ukarevenge ukachukue mmoja tatizo jukwaa lao hamna appetizer, mafioso mpaka wamekimbiwa.... Lol
 
Last edited by a moderator:
Hawa hawaambulii kitu wanapoteza tuu mawazo wachafue tuu boxer zao za blue ndo wanaridhika.....wahurumie tuu maana kule kwao hawana wadada b5-click na Ntuzu mtakoma tatizo mmezidi kuwa na sura zinazotisha

Hahahhajhahaha!!!! Mumy umeua bend.......nimecheka mpaka nikateleza nikaanguka
 
Last edited by a moderator:
ipo siku utazifua.. haki ya mama naapa... hahahah.. sura hz co mbaya ni sura za kazi mamitoh.. unataka tuwe ming'ao ili vitani tufe mapema!?

Hahahaaa ata kama b5-click muwe basi ata na ya kubusu nyie sura ngumu sana jamani...ndo maana ata wachezaji wenu wabayaaa wamekomaaa...unaonaje man u? Wachezaji ma hb ma fans ndo usiseme
 
Last edited by a moderator:
Shikamoo mpnz everlenk.. me napenda mechi na ww, 1 tu... ile ya kukata na mundu,najua utatamani nyingine.. na hata mazoez utataka tufanye wote😎 Ligi ya mechi nyingi cheza na kaka Ntuzu

Kwendraaaaaaaaaaaaaaa huko!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa ata kama b5-click muwe basi ata na ya kubusu nyie sura ngumu sana jamani...ndo maana ata wachezaji wenu wabayaaa wamekomaaa...unaonaje man u? Wachezaji ma hb ma fans ndo usiseme

Sura ngumu wote hadi bosi wao.....kwa sababu ya hela kidogo Abram naweza mfikiria...lol
 
Last edited by a moderator:

mkuu umenikumbusha mbali sana hapo.messi alitoka kuwaua goli la kichwa ila aliyeanzisha sherehe alikuwa Etoo tena man u walicheza mpira kwa dakika 10 tu ila shut la kwanza la Etoo likawa goli na hapo wazee wa tiktak wakaanza gonga zao nakumbuka man walivaa jez nyeupe ss tukajua madrid
 
Last edited by a moderator:
aleyn tumevamia uzi wa watu wenyewe wanaweza kutupiga ban maana umekumbusha kilio matangani siku ile babu alitafuna ubani mpaka mwisho akajitafuna ulimi kibaya zaidi akaja kutoneshwa kidonda tena 2011
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…