Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
mkuu bado tuna wasakama tu, saiz tunamtaka golikipa wa ajax, ni kama wenger miaka ilee, katika first eleven, 6 au 7 wote wafaransa
please LVG mtoe rojo muingie bracket
Msimu umeisha na lengo tumelikamilisha ila mech ambayo sitaisahau ni ya tar 21/9 naangalia mech home mpaka man u anaongoza 3-1. Mara taarifa za maza kupoteza maisha zinanifikia kesho yake marafiki wananitembelea naambiwa tulipigwa 5. Nilisikia kama ni msiba wa pili, Sitawasahau wala kuwasamehe wapuz wale daimaaaa.
poa mumy, michakato vipi??Mkuu mambo?
dah, kaka kipindi hicho nakumbuka mechi ya mwisho kuangalia ni dhidi ya swansea japokua tulishinda but dah sikua na hamu kabisaaa zaidi ya kucheki highlight, kila ikifika w'keend najua leo maumivu tenaHahaaaahahah nakumbuka jamaa mmoja humu alitunga wimbo unaitwa "nyakati za mashaka" enzi za Moyes hahahahah eti kuna sehemu alliimba " ....beki acheze bracket nani ataimba yoriyori ..."hagahah
poa mumy, michakato vipi??
pole mama, komaa watoto wasije enda kuangalia tv kwa jiraniMichakato imekaa pouwaaa...sema mkoloni anabana kinoma kila siku overtime
pole mama, komaa watoto wasije enda kuangalia tv kwa jirani
hahahhahhaaaaaaaa, kuna copa america mama, umesahau???? mapemaaaaa mi timu argentinaHahahaaaaa na raund hii si watoto tuu adi mimi nitaenda kwa jirani gharama za dstv siziwezi na vile ligi ndo zimeisha akuuu
hahahhahhaaaaaaaa, kuna copa america mama, umesahau???? mapemaaaaa mi timu argentina
Hahahaaaaa na raund hii si watoto tuu adi mimi nitaenda kwa jirani gharama za dstv siziwezi na vile ligi ndo zimeisha akuuu
Nadhani baadaye tutakuja kujilaumu kwa Falcao kama mabavyo tunajilaumu kwa Pogba.Jamaa angepata muda mwingi wa kucheza angerudi kwenye fom
man utd is just equally blameable as falcao... you cant blame falcao without blaming man utd...Falcao ni gamble kubwa sana,Rooney/RVP na Falcao wote wamefika 30 tunahitaji striker mpya kijana na asiye majeruhi.Dau la Falcao ni zaidi ya £40 m na £ 265,000 kwa wiki,ni kubwa sana kwa umri wake na still bado ni majeruhi nafikiri umemuona alivyokuwa anaanguka anguka na bado ameshindw kuadapt ligi
Hahahaha!! Umeona eeee!! Juzi bungeni kuna Mbunge aliuliza serikali inachukua hatua gan kukabiliana na hilo? Na wanaonaje na wao waanzishe vya bei nafuu, Pinda akajibu simple tutalishughulikia...
Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
man utd is just equally blameable as falcao... you cant blame falcao without blaming man utd...
look at rvp, rooney, wilson, all our strikers have been underperforming ever since we play with this formation, it's not the striker's fault, it's the system and the way we play....
if we blame falcao for his goal drought, then we should also blame united for "ruining" his reputation...
people blaming him simply because of his goal drought fails to look at things from the bigger picture.... way to naive i would say, too naive... laughable