Wacha niseme nimeota ila natamani leo yatokee maajabu tumpige Hull 0-4 na arsenal wapigwe 3 null ...
Kama umenielewa lkn..
(Anything can happen though) #GGMU
Wacha niseme nimeota ila natamani leo yatokee maajabu tumpige Hull 0-4 na arsenal wapigwe 3 null ...
Kama umenielewa lkn..
(Anything can happen though) #GGMU
Congratulations!!! £150Millions imewapatia 4th spot title. Next transfer window mkitumia £150 Million nyingine mtaweza kutetea 4th spot title next season. Hull City wanawapeleka puta hapa wakati huo huo Walcott kashatupia hat trick.

Hahahaha tumetumia nusu ya mliyotumia katika window transfer moja. Ukweli hatujawahi kutumia pesa zote hizo wala kufikia pesa zote hizo katika transfer moja.. Sidhani Totenham na Liverpool walifikia kiasi hicho walipowauza Bale na Suarez. LVG anajalizia pension yake kabla hajatimulia Holland baada ya msimu ujao.
Btw nilidhani umeshakimbia mji kama wenzako kina Nzi, Mndengereko,DonDonald,Bulldog,RRONDO e.t.c Tukutane jmosi kushangilia Arsenal wakibeba FA CUP