Matokeo. ..madogo wamefungwa tatu kwa moja. ....labda kwa kuwa game ilikuwa ni ya kukamilisha ratiba, maana wameshalibeba kombe la ligi ya U21
Aiseee!!! Ukishalichukua kombe morali yote inaisha sijui kwanini!!
Aiseee!!! Ukishalichukua kombe morali yote inaisha sijui kwanini!!
daa! huyo dogo pearson namhusudu sana! hajawah pata nafas kikosi cha kwanza lakn man utd wasipomuuza atakuja kutusaidia sana ktk dimba la kat anampira flan mzur sana aisee kama dinho flani hivi... van gaal akimpanga leo ntaenjoy sana kumuona huyu dogo!
Mamy mambo?
Mambo poa mumy, mzima we? Leo nipe utabir wako
Mimi pia mzimaa...leo upepo ni mzuri bila shaka vijana wamejifua vyema
Amen, na iwe hivyo
watu mna roho ngumu nyie, hamumuonei huruma Bruce?? is our legend jamani.
for me matokeo yyte yatakayokuja fresh tu, japo nitaumia sana hull city akipigwa,
ila angekua yule mshenzi Kean walahi nisingempa hata nafasi ya kujitetea
hahahahaaaaa, sitafanya hvo, nitawasumbua tu pale kwenye mido ila 6funga
watu mna roho ngumu nyie, hamumuonei huruma Bruce?? is our legend jamani.
for me matokeo yyte yatakayokuja fresh tu, japo nitaumia sana hull city akipigwa,
ila angekua yule mshenzi Kean walahi nisingempa hata nafasi ya kujitetea
Game yetu ya mwisho wa msimu 2014/15....
Lineups
Hull starting eleven
22 Harper
5 Chester
21 Dawson
15 McShane
27 Elmohamady
7 Meyler
8 Huddlestone
29 Quinn
11 Brady
28 N'Doye
18 Jelavic
Man Utd starting eleven
32 Valdés
25 A Valencia
12 Smalling
4 Jones
5 Rojo
17 Blind
8 Mata
21 Herrera
7 Di María
18 Young
10 Rooney
Hull Substitutes
1 McGregor
2 Rosenior
4 Bruce
9 Hernández
20 Sagbo
24 Aluko
26 Robertson
Man Utd Substitutes
11 Januzaj
13 Lindegaard
20 van Persie
31 Fellaini
33 McNair
42 Blackett
49 Wilson
*****
Referee
Lee Probert
Nkamu gwangu nilipenda sana tumalize point 72.....