Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Coentrao,Khedira walikuwa wachezaji wa Morinyo walipaswa kuondoka baada ya Jose kuondoka,haya mambo alikuwa anayaweza SAF.Moyes ndio alimtaka Coentrao akamkosa Madrid walete hela sio kuleta hilo garasa
 

Naskia uongozi umekataa hiyo 20 wanataka 40........na huyo Contrao kwa kweli hatumtaki hana namba kwetu atacheza Kama nani?
 
Naskia uongozi umekataa hiyo 20 wanataka 40........na huyo Contrao kwa kweli hatumtaki hana namba kwetu atacheza Kama nani?

kwa tetesi toka gazeti la marca (spain) inaonekana de gea kisha saini tayari madrid miaka 4 mshahara wake ni 150/week, thats y madrid wanaleta jeuri, na within this week (most likely ni ijumaa) uongoz wa madrid utakaa na cassilas kuhusu ujio wa de gea kama cassilas atataka abaki madrid basi atapunguziwa mshahara wake.
 
Naskia uongozi umekataa hiyo 20 wanataka 40........na huyo Contrao kwa kweli hatumtaki hana namba kwetu atacheza Kama nani?

Yule jamaa Ni mzuri naweza kusema kutolewa kwa Madrid kunasababishwa na kukaa benchi hao wachezaji wapambanaji km huyo na Khedira!
 

De Gea hawezi kusaini mkataba na Madrid wakati hawajakutana na Man United,inaonekana De Gea mwenyewe anataka kwenda Madrid but still Madrid hawajamaliza kesi ya Cassilas asije akaenda kule Casillas akawepo wakagombania namba,then Madrid bado wanadiscuss issue za kocha mpya kama Carlo atabaki au atatimuliwa
 
Yule jamaa Ni mzuri naweza kusema kutolewa kwa Madrid kunasababishwa na kukaa benchi hao wachezaji wapambanaji km huyo na Khedira!

Morinyo alimnunua kwa bei kubwa sana huyo,huku kwetu hakuna nafasi yake alipaswa kuja kipindi ambacho Rojo,Shaw,Blind hawajasajiliwa kipindi cha Moyes
 
Walete 50 au waturuhusu tuchague wachezaji tunaowataka.

Ila wachezaji wa spain hawafai kabisa, ni kama watanzania. Wapo radhi wapunguziwe mshahara ili warudi kwao. Toka cesc fabregas alivyojilipia ada kwenda barca nikachoka kabisa. Huyu de gea aende manake anaweza kufungisha tukajua kwasababu anataka kusepa
 
Yule jamaa Ni mzuri naweza kusema kutolewa kwa Madrid kunasababishwa na kukaa benchi hao wachezaji wapambanaji km huyo na Khedira!

Bby huyo Khedira kwetu hana namba Kina Shaw, Blind na Rojo washajaza nafasi yake.
 

Hii issue angekuwa SAF asingeondoka kiurahisi ,hata hivyo sidhani kama mashabiki wa United watamchukia ametufanyia makubwa sana.We wish him all the best

Ukiangalia case ya Alcantara,Sterling,Kroos,Sterling,Gotze utagundua siku hizi hakuna loyalty kabisa kwa wacheza soka.Ni ngumu kupata watu kama Gerrard,Totti,Scholes,Le Tissier,Maldini,Del Piero,Caragher,Gary Neville,Di Natalle,Xavi
 
Frankly, I don't think the club as big and established as United should ever be held hostage by a single player at any time. Players come, players go. De Gea should just go if Real Madrid fancies him. I need a crop of United players who are proud of wearing the jersey, performing at high standards and understand the meaning of gratitude.

I'd love to have DDG stay, but if his dream club is somewhere else so be it. United 'til the day I die
 
 
 
Chama litakuwa sawa tu next season
 

Attachments

  • 1432068297615.jpg
    29.8 KB · Views: 105
Bby huyo Khedira kwetu hana namba Kina Shaw, Blind na Rojo washajaza nafasi yake.

Ila Khedira ktk nafasi ya kiungo cha kati anaweza kuwasaidia my dear kwasababu tumeona Carrick alivyoumia na timu imekua na shida hapo kati. Kwahiyo km kunakua na Khedira hapo kati na Herrera na Fellain timu inakua imara!

Blind yeye acheze beki ya pembeni kushoto tu. Au waonaje baby? Alafu Evra mmemuuza jumla kwa Juve au yupo kwa mkopo? Naona kawa mzuri km zamani!:thumbup:
 
[h=1]Radamel Falcao takes to Twitter to thank Man United fans for their incredible support[/h]Thank you so much for the incredible support of the @ManUtd fans all season. Unforgettable.

 
 

Khedira hatufai kwa sasa tangu alivyoumia amekuwa spana mkononi,Evra aliongezewa mkataba lakini yeye mwenyewe aliamua kuondoka,alitaka kupata new challenge.Wachezaji waliondoka msimu uliopita (Vidic,Rio,Kagawa,Flecher,Butner,Chicharito,Wellbeck,Evra) Evra ndio amefanya vizuri kwenye klabu aliyoenda hao wengine wote wamechemka
 

(net inasumbua)Khedira ni kabila gani naanza kuwaogopa waspain sasa....lol.......atacopy na philosophy ya LVG au yale yale ya kina ADM na Falcao?

Mhh!! Evra sikumbuki Transfer yake ilikuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…