Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah!!! Ndugu yangu tutakosana sababu ya michepuko ntakununia kweli ila sababu Juve ni best yang ntakusamehe ila tuache michepuko turudi njia kuu......lol..... Msimu ujao tutakavyokuwa wakali haki ya nani michepuko tutaisahau kabisaa....

Nimeona mchepuko wako umepangiwa game na njia kuu....mmmhhh sijui utakaa upande upiiii
 
Dah!!! Ndugu yangu tutakosana sababu ya michepuko ntakununia kweli ila sababu Juve ni best yang ntakusamehe ila tuache michepuko turudi njia kuu......lol..... Msimu ujao tutakavyokuwa wakali haki ya nani michepuko tutaisahau kabisaa....

Ivi msimu ujao ni lini vile.maana nitawamithi sana jaman
 
Kunahitajika beki 2 thabiti, na striker wa hatari. Tena wawe wa tatu kama messi neymar na suarez.
 
Ashley anatakiwa kuondoka au akubali sub

Sub na nani? Di Maria. I think Di Maria anahitaji ku-up his game bana amtoe Young! Young kwa game za round ya pili amecheza vizuri, MNO!

unless unazo sababu nyingine ningependa kuzisikia!
 
Ashley anatakiwa kuondoka au akubali sub

Young tokea alipofanya lile kosa na akaomba msamaha kwa mashabiki amekuwa anacheza kwa kujituma sana, amekuwa msaada sana kwa timu yetu, kwangu mimi apewe msimu mwingine na aendelee kunolewa tu.
 
Nachikia nimegusa ubongo wa Manure fans khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong.
 
real madrid wametoa ofa ya paun 20millions + contrao= de gea,
japokua utd mara ya kwanza walikua wanataka 50, (bila contrao)
 
real madrid wametoa ofa ya paun 20millions + contrao= de gea,
japokua utd mara ya kwanza walikua wanataka 50, (bila contrao)

Yaani huyu da gea acha aende tuu maana yupo kimaslah na pia real madrid ni kwao.. tutampata tuu mwingine imara
 
real madrid wametoa ofa ya paun 20millions + contrao= de gea,
japokua utd mara ya kwanza walikua wanataka 50, (bila contrao)

Huyo Coentrao atakuja kucheza wapi .Shaw,Rojo,Blind na Young wanaweza kucheza beki wa kushoto ,
 
Priority yetu kwenye usajili ni CB mzoefu acheze na Smalling,na kiungo mkabaji pale kati Carick ameshakuwa spana mkononi
 
Priority yetu kwenye usajili ni CB mzoefu acheze na Smalling,na kiungo mkabaji pale kati Carick ameshakuwa spana mkononi

unajua madrid hata wakitoa hyo 20 itakua ni bahati yetu maana de gea ana msimu mmoja tu aondoke bure, na contrao alileta pozi mwenyewe kipind tuna mtaka akaweweseka na jina kubwa la madrid, leo hii kaona anasugua benchi anaanza kuongea eti "everybody know i love manchenster utd, is the big club and my dream is to play for utd one day"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…