Uwiiiiiiiiiiiiiiii!!!!! Nitapona kweli??
Ntuzu ninaye mjua mimi? Labla mwingine...apo anakungoja ukapike chakula...Hahahaha!! Bora umeniambia maana kaniambia eti niende tu atanipa hadi Ferrari.....
Ntuzu ninaye mjua mimi? Labla mwingine...apo anakungoja ukapike chakula...
Afu leo amepiga usafi balaaa yaani tangu asubuhi... ikitokea usipoenda ataumia sana maana si kawaida yake kudeki nyumba siku ambazo si sikukuu
Poleni wazawa wa mtaa huu.. 😎
Hahahahahahaha!!! Unalo pole ikurudie mwenyewe!!! Jana kichapo kama kawaida Pepe kafanya yake...... Hahahahaha pole mjerumani wewe!!!!!!!!
Leo Man U ni kifinyooooooo hahahahahahaha. Walai mtalala uvunguni leo.
Ntuzu ninaye mjua mimi? Labla mwingine...apo anakungoja ukapike chakula...
Afu leo amepiga usafi balaaa yaani tangu asubuhi... ikitokea usipoenda ataumia sana maana si kawaida yake kudeki nyumba siku ambazo si sikukuu
Mtani leo safi magoli leo no possession without goal........ Ila naona we hupend tushinde last week ulikimbia bila hata ya kuniaga.
Leo Man U ni kifinyooooooo hahahahahahaha. Walai mtalala uvunguni leo.
wangu hapana yaani nilichungulia tu nikaondoka. Mnatakiwa mkomae sana leo.
Ushindwe kwa jina la yesu. Pepo mchafu toka