Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Asante babito kwa salaam, uko poa lakini? Duh!! Ligi imeisha tutakuwa tunakutana wapi tena? Dah!! Mwezi wa nane parefu sana......

Kuna Uzi nataka nianzishe ambao utakua ni Wa uchambuzi tu Wa soccar na timu mbali mbali usajili na pre season games, uwezo Wa makocha ubora Wa lingi na nini kifanyike, wapi timu zilikosea etc. Huu Uzi utakua ni huru ktk maoni kila MTU ataweza kuchangia. Nafikiri hii itakua ni Nyumba ambayo tutakua tunakutana Mara kwa Mara bila kusahau habari moto moto.
 
Mh itadumaza majukwaa yetu!

Mi nadhani tutakutana kwenye copa nini sijui ile ya amerika kusini! they must be fun...
 
Wazo zuri sana babito itakuwa njema sana, nawe kunywa kinywaji chochote kwa bili yako.....
 
Mh itadumaza majukwaa yetu!

Mi nadhani tutakutana kwenye copa nini sijui ile ya amerika kusini! they must be fun...
Majukwaa yetu yataendelea vile vile kama kawaida,unajua kuna majukwaa mengine huwezi enda kukandia ila wewe mwenzetu Mentor unayaweza kweli....lol
Okay. Lkn hiyo ni kwa miezi miwili tu hii mpk ligi ianze au wewe unaona ni bora tubaki hivi hivi tu!

Kama vipi tuanzishe ligi yetu mimi,wewe na Mentor....lol
 
Last edited by a moderator:
Mhhh mbona mi huwa nakuhongaga sana tu! msingizie mwingine..labda Asprin!

Hahahaha!! Sitaki kijana asiyeelewa nataka jibaba la kisawasawa..... Hahahaha unaikumbuka hii.... Asprin ni habar nyingine acha kabisa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wazo zuri sana babito itakuwa njema sana, nawe kunywa kinywaji chochote kwa bili yako.....

Unajua ni kweli kuna majukwaa mengine huwezi kwenda kusema chochote nafikiri hili litasaidia maana ata ktk hayo majukwaa kuna wanadau wanaogopa kutoka huko na kuja ktk majukwaa yetu watashambuliwa na wenzao.

Mi nafikiri hii itakua poa tutakua tunapata uchambuzi muzuri kutoka Spain Italy France Germany na England vzr kabisa.
Majukwaa yetu yataendelea vile vile kama kawaida,unajua kuna majukwaa mengine huwezi enda kukandia ila wewe mwenzetu Mentor unayaweza kweli....lol

Kama vipi tuanzishe ligi yetu mimi,wewe na Mentor....lol
 
Last edited by a moderator:

Okay, ni sawa...so tutaongelea ligi zote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…