Heshima ya kushinda hilo kombe mara tatu! Mara ya mwisho hata mtoto wa miaka 10 ameshuhudia! Hivi pamoja na kushiriki kwenu mara zote hizo mmeshinda mara ngapi vile?!
Nendeni mkashindane na Tottenham au West Ham sisi tuachieni Chelsea,Liverpool au Nottingham Forest coz we have something in common!
Evra ?Evra hongera zake kwa kufanya maamuzi sahihi, atinga fainali UEFA
Poleni wapenzi wa Ronaldo, tukutane msimu ujao
Soma picha inajieleza.Heshima za kumaliza wa mwisho katika group sio? Haya tusubiri tuone hiyo heshima mnayojidanganya kuirudisha.
ronaldo, pogba, evra & tevez, dah
Chicharito dah yaani ni raha full jana Man ilikuwa inawakilishwa na wachezaji 5 ndio ujue Man ni habari nyingine kabisa.
Maneno Murua toka kwa legend
Sikubaliani na ulinganishi wake.
Sikubaliani na ulinganishi wake.
Lete hoja, kwanini?
jamaa alikua ana mnanga gelard
Maneno Murua toka kwa legend
No.. wameshindwa na Sunderland!