Mbona unaleta ubishi usio wa maana arifu...tactical change ilikuwa kutokana na Smalling kuelemewa na spidi ya Palace...
Kuhusu next game dhidi ya Goons, siongi chochote zaidi ya kusubiri dakika 90 ziamue..
Hahaha kauli hiyo inaonyesha kuwa unajua tunakuja kuwapa kipigo cha mbwa mdokozi jiko la mama ntilie.
Fanyeni juu chini DDG asikimbilie kwao ama sivyo mtajiunga na Liverpool kugombania Europa League spots. Jamaa kaokoa vipigo vingi msimu mzima, ndiye anastahiki kuwa mchezaji bora wenu wa msimu na kipa bora EPL 14/15
Malafyale naona unapoteza bet mkuu. Mpambe wa Fergie, Pardew ameshindwa kuwasaidia kwa namna moja au nyingine.
Daah yaani leo man u wamenifurahisha sana...
Bado naendelea kuwaombea wachezaji walioumia wawe poa soon kwa ajili ya kuingia kweny mpambano ujao
God bless Manchester United na fans wake
Kumbuka alisajiliwa ili afanye kazi hiyo..... ndio jukumu lake hilo
Kwahiyo kafanya hujuma? hahahahah
kina Evans, Valencia pia walisajiliwa wafanye errors ndio majukumu yao. Next Sunday haiji mapema..
Glory Glory Manchester United....... Hongereni wana MU family.......
Unatumia kinywaji gani? lol