Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hajaumia...ni tactical change...amechoka kwa kukimbizwa na wanariadha wa Palace.

Itakuwa kaumia au ana majeraha madogo kabla ya mechi hawataki azidi kuumia. Hongera kwa kustop a losing streak, lakini mjue tunakuja kuliza tena OT next weekend.
 
Fanyeni juu chini DDG asikimbilie kwao ama sivyo mtajiunga na Liverpool kugombania Europa League spots. Jamaa kaokoa vipigo vingi msimu mzima, ndiye anastahiki kuwa mchezaji bora wenu wa msimu na kipa bora EPL 14/15
 
Itakuwa kaumia au ana majeraha madogo kabla ya mechi hawataki azidi kuumia. Hongera kwa kustop a losing streak, lakini mjue tunakuja kuliza tena OT next weekend.

Mbona unaleta ubishi usio wa maana arifu...tactical change ilikuwa kutokana na Smalling kuelemewa na spidi ya Palace...

Kuhusu next game dhidi ya Goons, siongi chochote zaidi ya kusubiri dakika 90 ziamue..
 
FULL TIME: Crystal Palace 1-2 Manchester United

And that’s that! A tale of two goalkeepers, really. David De Gea was his usual magnificent self, the platform on which United built their victory. They’d have lost without him. Julian Speroni, meanwhile, gifted United their winner. A sense that United have got away with one there, but they’re remembering to do what the great Manchester United teams always did: turn average performances into victories. They’re on the verge of Champions League qualification now. Over the entire piece this season, they’ll deserve it. Palace were a shade unlucky today, though. Ah well, they’ll always have December 1972.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…