Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naombea muendelee na kununua wachezaji "wauza jezi" kila season.

#ItsAllAboutTheBenjamins
#TheSinkingShip
 
Naombea muendelee na kununua wachezaji "wauza jezi" kila season.

#ItsAllAboutTheBenjamins
#TheSinkingShip

mpira biashara kaka, ndani na nje ya uwanja, we unafikiri kwanin abrohmovic alikua hataki kumuuza torres licha kuvurunda? watu wanatafuta faida kaka, hujui kwanin wenger kila key player wake alikua anamuuza?? au unafikiri hataki makombe?? pesa m baba!!!
 
Endeleeni kuweka pesa mbele muwe kama wale Majogoo wasiotembea peke yao..
 
Liver atamfunga Chelsea na nyie mtafungwa na Crystal...

My prediction cute b

- Ahahah anything to get u out of the top four

- Mou atapanga kikosi mixed

- hata wale regular XI watacheza kikawaida sana...motivation ya kushinda haipo tena!

Nyie mpango wenu si kama wa Yanga tu alichomfanyia simba!!? Lakini Mou bado anamuheshimu mwalimu wake anaukumbuka mchango wake kasema atalipaki basi Mara mbili ya siku ile aliyocheza na ticha wake...... Tehe tehe tehe tehe
 
Last edited by a moderator:
Michael Carrick is out for the rest of the season, but Luke Shaw, Jonny Evans and James Wilson are available to face Crystal Palace: Van Gaal rules Carrick out for the season - Official Manchester United Website

Ohhhh My God!!! Hizi ni habari za kusikitisha kuhusiana na Carrick anyway Bwana azidi kumponya.........dah! Evans mwenzenu sitapenda nimuone akicheza anyway labda benchi linaweza kuwa limempa funzo na akicheza apewe dakika chache sana ......anyway Mungu tusaidie tuicheze vyema hii karata yetu ya mwisho......GGMU
 
Uwezekano wa kupata kipigo cha nne ni mkubwa kuliko kupata ushindi, japo mpira ni dakika 90, tusubiri tuone! Tunawakaribisha tusherehekee ubingwa j2 whatever the results!
 
Uwezekano wa kupata kipigo cha nne ni mkubwa kuliko kupata ushindi, japo mpira ni dakika 90, tusubiri tuone! Tunawakaribisha tusherehekee ubingwa j2 whatever the results!

Hongereni sana, usituombee njaa bana kwani vita tena kombe si ushachukua!! Nipigie LFC tu tuje tufungue shampgne wote. .. ...
 
Hongereni sana, usituombee njaa bana kwani vita tena kombe si ushachukua!! Nipigie LFC tu tuje tufungue shampgne wote. .. ...

Mamito miss sn wewe......au mafuriko ya jangwani yamekupitia?

Mmmmh mko Na nani hii weekend-mko Na vijana Wa Alan Pardew?
 
Mamito miss sn wewe......au mafuriko ya jangwani yamekupitia?

Mmmmh mko Na nani hii weekend-mko Na vijana Wa Alan Pardew?

Babito taratibu watoto wa OT hatukai mabondeni pesa ipo twakaa sehemu ya hadhi yetu.....lol, babito nimekumiss pia nateseka na baridi tu naona rent boys mmeishindwa ofa yangu......

Aiseee acha tu weekend hii tupo na wale watoto wa Alan kama wewe siyo mkaanga sumu naomba maombi yako.....
 
U r very funny my dear....nyie si mnapenda wauza jezi bana. Endeleeni na biashara.

Ila mjifunze, 'good business is being able to balance your books no matter what.'

Hivi ofa and terms anatoaga mnunuliwaji ama mnunuaji??!
 
Darling acha hizo biashara ni biashara tu ilimradi ni halali na haikutupi.........BTW Mcharo wangu bado tunajenga timu vijembe hivi virushe msimu ujayo........usijali japokuwa nimekuzid lakini utaendelea kuwa Mcharo wangu my beibiiii.....lol
 
Nawaombea kwa kweli mshinde maana duh hatari
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…