Mwenzako akinyolewa wewe tia maji......jamani eee LFC ndo hao washapunguzwa kasi yao,iliyobaki tukazane sasa vipigo vya hizi wiki mbili inatosha sasa.... West Bromwich haooooooooo tusiwapuuzie jamani hizi timu zimeamua sasa hapa mwishoni kuziaibisha timu kubwa...... Kwako LVG plizzzzzzzzzzzz I need only 3 points don't let me down.......... I hope you will do so.......GGMU
HaHaHa kumbe leo kwenye EPL kulikuwa na mechi za vitimu vidogo vidogo
Nipo busy kuangalia ligi ya Spain mpaka nilipoona post yako hii ndio nikajua kulikuwa na mechi leo EPL
HaHaHa hao jamaa They will never walk again ..... asante sana Hull City
Hata Majogoo sasa yanajua kabisa hayawezi kuifunga Hull City
cc Malafyale
HaHaHa kumbe leo kwenye EPL kulikuwa na mechi za vitimu vidogo vidogo
Nipo busy kuangalia ligi ya Spain mpaka nilipoona post yako hii ndio nikajua kulikuwa na mechi leo EPL
HaHaHa hao jamaa They will never walk again ..... asante sana Hull City
Hata Majogoo sasa yanajua kabisa hayawezi kuifunga Hull City
cc Malafyale
Aibu mtu wangu acha!! Leo majogoo chaliii .....tukemee zimwi la kufungwa liishie huko huko Anfield.......Spain washabikia timu gan?
Majogoo naanza kuona dalili sio tuu kuwa hawatacheza Champions League bali hata Europa Hawataiona
Malafyale hii ndio neck to neck
View attachment 247707
Na bado Majogoo wana mechi za kufungwa bado zipo na hata wao wanajua kuhusu jambo hilo
HaHaHa.... Spain ? mimi ninapenda Man Utd tuu... Spain ninaangalia tuu mpira ... ILA kidogo nina kiaina fulani kuifagilia timu unayoipenda wewe huko Spain : sababu yule kocha mropokaji wa darajani aliifundishaga ile timu nyingine.
Siyo siri hali ya kaka yangu ni mbaya tumuombee afarijiwe japo kwa Europa aione tu nitampoteza kaka yangu jamani.......
Hahahahaha!!! Ntuzu akikusikia baba yake wamuita mropokaji atakumaliza, hujaona huo mpambano wao wa watoto wa Wenger na watoto wa Mou....
Kaka yako mpaka atakapoacha kutaka kuzuia mafuriko kwa mikono ndio tutamsamehe
Huyo baba yake Ntuzu simkubali kwenye vitu vingi ila kuna vitu akisema kama hivi ninakubaliana naye
"You support the club and you're waiting, waiting, waiting for so many years without a Premier League title, so that's very boring.
Hii msg inawafaa sana Arsenal aliowalenga na timu ya kaka yako
Hajawahi kutafuta wala kutamani kazi huko maana huko hakutamwezesha kufikia malengo yake (mataji) huko ni saizi ya akina moyes!
Sasa mbona mnajaza space ya Manu nyie watu wa Mourinho ma Wenger?? Kajazeni server zenu, sio hapa kwa Manu!
Wao wamelianzisha huku kwenu baada ya mdau mmoja Wa ManU kuwapa kijembe cha Mou hao Gunners maana walizidi kejeli kwa ManU kufungwa na Everton sasa walivorushiwa hicho kijembe ndio wakageuka kumshambulia Mourinho..... Na sisi tukatia timu kumtetea baba....
Isiwe tabu Mkuu tutawapisha....
Hivi ni kweli Special One aliangua kilio kwa kutoswa kuchukua mikoba ya babu?!
http://www.theguardian.com/football/2013/sep/26/jose-mourinho-cried-manchester-united
Poor Chicharito...
Hao wawili wengine ni Falcao na ADM?
Hivi ni kweli Special One aliangua kilio kwa kutoswa kuchukua mikoba ya babu?!
http://www.theguardian.com/football/2013/sep/26/jose-mourinho-cried-manchester-united
Hii taarifa sio ya kweli mkuu.According to Mourinho ni kwamba Ferguson alimpa taarifa za kwamba anastaafu ikiwa ni mwezi mmoja kabla SAF hajatangaza rasmi.Mourinho anasema alipopewa taarifa alishukuru kwakua alikuwa ni mmoja kati ya watu wachache waliopewa hiyo taarifa.
Pia alisema alimuelezea SAF kuwa endapo angerudi England ni sehemu moja tu anaweza kwenda.