Hahaaa mtani wataje tu
Btw sijui nikaushe.....!? ila kiroho safi pokea pole yangu
Meanwhile in Spain...
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Asante mtani, Dah!! Mtani Jana aibuuu! Naona zimwi linalokukula linataka linile na Mimi ,kwangu lishindwe na lilegeee kabisaa......
Meanwhile in Spain...
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nawe mungiki Brother umezidi timu yako ya Mancs chacha mnazomea wachezaji wenu aibu. Khe khe khe khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee bora umekimbilia kwa Mafioso wenzako khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ding ... .... dong ... .....
Shukuruni jana hatukuanza na striker...
Kuna vitu vichache sana vya Mourinho ninavikubali hiki ni kimoja wapo
Chelsea manager Jose Mourinho laughed off the Arsenal crowd's "boring" jibes by reminding the Gunners of their wait for the Premier League title as his side closed in on the trophy.
"You know, I think boring is 10 years without a title. That's very boring," Mourinho said.
"You support the club and you're waiting, waiting, waiting for so many years without a Premier League title, so that's very boring.
rubaman na [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamWakaangaSumu]#TeamWakaangaSumu [/URL] wote
Title? FA Cup sio title siku hizi? Mourinho ni bonge la jinga/no class. Sijawahi kuona kocha/manager wa timu yoyote anabishana na wapenzi wa soka. kocha vs kocha inaeleweka sio kocha vs fans. Uliwahi kumuona Fergie anajibishana na rival fans eg Liverpool, Leeds Utd au City?
Plus tupo mbioni kuwagonga Aston Villa mwezi ujao katika fainali. Najua #TeamWakaangaSumu mtakuja na wimbo mwingine
Mkuu Moureen ni mtoto anayetanga tanga na ameshafahamu hawezi kuwa Manager wa Gunners kwa sababu ndio timu pekee ambayo hataweza kuwa manager na hasira zake ndio kuropoka namna hiyo. Sio kocha bali ni kichaka anafahamu fika siku si nyingi kibarua chake kitaota mbawa mark my words. Analilia sana kuja kuwa manager pale Emirates lakini hapati ng'oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo. Hatuajiri wajinga kama yeye tunaajiri Professors.
Nakubaliana na wewe. Jamaa ana-jealousy fulani dhidi ya Wenger especially relationship na support aipatayo Wenger toka kwa the top management. Alishasema mara kadhaa kwamba Arsenal ni moja ya timu zinazoendeshwa vizuri. Anatamani angepata nafasi ya kuwa supported na mabosi wake sema domo lake huwa linamwangusha kabla ya miguu yake kujikwaa. Mourinho mpaka sasa anajua kuwa kati ya timu kubwa England ni Chelsea(kama inahesabika kuwa ni moja ya timu kubwa) na Man City anapoweza kupewa ukocha. Ameshagundua kuwa hawezi kupata kazi Old Trafford labda itokee Sir Alex Ferguson afe vile vile atasubiri Wenger afe ndio apate kazi Emirates. Kifupi Wenger na Fergie wataendelea kuwa na internal influence ndani ya Man Utd and Arsenal respectively hadi watakapokufa. Vile vile Arsenal hawana mpango wa kutumia pesa kijinga jinga. Liverpool nako sijui kama watampa kibarua. Nina uhakika next employer wa Mourinho atatokea France.

Mnajidangaya na kujifariji nyie wenyewe.... Mnachekesha sn...Mou mwenyewe alishakili kua anaipenda sn Chelsea na ni shabiki mkubwa Wa Chelsea na ndio maana akarudi Chelsea... Sasa huko kwenu mnakoborewa kwa kukaa misimu kumi bila kombe afate nini Mou? Kwa uwezo Wa Mou na CV Yake kubwa kuliko huyo babu wenu Wenger Mou anaweza kufanya kz ktk timu yoyote ile bila kipingamizi chochote....iwapo babu wenu Wenger ataacha kutoa maneno shombo kwa Mou Mou na yeye atakaa kimya...anaongea shombo dhidi ya Gunners sio eti kwasababu ameona hana nafasi ya kuifundisha Gunners... Mou hana muda huo mchafu...kwa Chelsea amefika ata asipochukua makombe....
Mnalishana matango tu eti Arsenal hawana mpango Wa kutumia pesa kijinga umeona Chelsea wanatumia pesa kijinga? Umefatilia wachezaji waliouzwa kwa Chelsea na walionunuliwa ukaona kua pesa zinatumika kijinga? Au ukaona hakuna faida? Msijidangaye!
Mourinho kwa sasa ktk Chelsea ana wakati mzuri sn kuliko mnavodanganyana...km chuki zenu dhidi ya Mou kwa babu yenu kushindwa kumfunga Mou zisiwafanye muongee tu hivyo....tupo wapenzi na walevi Wa Domo km mnavomuita hatutaweza kukaa kimya tukiona hoja zenu...
So, was that our problem? Chi umeona hata media imenyong'onyea kisa Cesc hachezi two matches na kule Leicester hamatoki kesho, then palace wanakuja kuwabamiza kwenye cowshed .. .... .... .. ding ... ... dong patamu hapo khe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kama:
1.tungekaa misimu kumi bila EPL title kama arsenal
2.tungekaa misimu ishirini bila EPL title kama Liverpool
3.tungekaa miaka 50 bila EPL title kama Chelsea
Hii thread ingekuwa na kurasa 1,000,000!!!!!
Kama:
1.tungekaa misimu kumi bila EPL title kama arsenal
2.tungekaa misimu ishirini bila EPL title kama Liverpool
3.tungekaa miaka 50 bila EPL title kama Chelsea
Hii thread ingekuwa na kurasa 1,000,000!!!!!
Mnajidangaya na kujifariji nyie wenyewe.... Mnachekesha sn...Mou mwenyewe alishakili kua anaipenda sn Chelsea na ni shabiki mkubwa Wa Chelsea na ndio maana akarudi Chelsea... Sasa huko kwenu mnakoborewa kwa kukaa misimu kumi bila kombe afate nini Mou? Kwa uwezo Wa Mou na CV Yake kubwa kuliko huyo babu wenu Wenger Mou anaweza kufanya kz ktk timu yoyote ile bila kipingamizi chochote....iwapo babu wenu Wenger ataacha kutoa maneno shombo kwa Mou Mou na yeye atakaa kimya...anaongea shombo dhidi ya Gunners sio eti kwasababu ameona hana nafasi ya kuifundisha Gunners... Mou hana muda huo mchafu...kwa Chelsea amefika ata asipochukua makombe....
Mnalishana matango tu eti Arsenal hawana mpango Wa kutumia pesa kijinga umeona Chelsea wanatumia pesa kijinga? Umefatilia wachezaji waliouzwa kwa Chelsea na walionunuliwa ukaona kua pesa zinatumika kijinga? Au ukaona hakuna faida? Msijidangaye!
Mourinho kwa sasa ktk Chelsea ana wakati mzuri sn kuliko mnavodanganyana...km chuki zenu dhidi ya Mou kwa babu yenu kushindwa kumfunga Mou zisiwafanye muongee tu hivyo....tupo wapenzi na walevi Wa Domo km mnavomuita hatutaweza kukaa kimya tukiona hoja zenu...
Ya kale hayanuki mkuu, wewe umejitapakaza sasa! Lakini pia watu huwa wanaenda uwanjani kuangalia timu wala siyo kwenye jumba la makumbusho! Ukitaka kuiona man u inamliza Bayern munich uefa 1999 kaitafute kwenye jumba la makumbusho wala siyo old traford!