Wamefurahi hao sio mchezo
Mkuu naona kila mkifungwa huwa unakimbilia kuzibua kijani halafu unarudi night watu wakiwa wameshalala. Nasubiri nione zile bets/Bookmarks watu walizoahidiana miezi kadhaa iliyopita kama zitatimia.
They are still on:
1. Arsenal hasn't won UCL, so I win the bet.
2. Loserfools are still behind United, and probably they won't finish above United. So, I'm the likely winner too.
What else you got?