£60M and benched. Shikamoo Everton.
Hivi humu hakuna wapenzi wa Everton? niliwahi kuona wanaoipenda Tottenham Spus, Newcastle United bali Everton na Aston vila ati ya timu zilizobeba makombe mengi (England) zaidi ya Chelsea ndio sijawahi kuwaona humu. Watu mnasubiri Everton inunuliwe na Waarab/Warusi ndio muipende?
Shikamoo McCathy, Mirales, Stone. Tukutane next weekend. 2points 1 game in a hand. Salamu ziwafikie Everlenk, Belo, DonDonald, Bulldog, RRONDO na #Wasagasumu wote wa club hii.
Yea, bora tukubaliane kutokubaliana. Wengi tuu watakubaliana kutokubaliana na wewe kama hawa waliochagua team of the year.
Maana kama kudefend ingekuwa kweli ni anti-football, basi wasingeweka defensive players wanne wa rentboys kwenye hiyo timu.
Wangeweka wale wa timu zinazo-attack and attack. Kama unachukulia mechi mbili za mwisho unaweza kusema Chelsea walikuwa wanadefend zaidi lakini ukiangalia kwa msimu mzima kweli Chelsea wamekuwa wakidefend tuu all the season?
At the end of the season, it is not about which of your rivals has won the title. B'se akishinda non-rival haina maana kuwa ata-share hilo kombe na Man Utd.
Yaan leo wanapita tuu hata kutufariji hakuna....
Nimeenda kumwita Ntuzu amesema huku kwetu kuna msiba na yeye kwenye nyumba ya msiba haingii......
Ila kesho watakuja tuu