Kama umegundua matambo yangu nayafanya muda wa kazi (sijivunii hili) au niwapo kwangu nimechomeka simu kwenye charger..mara nyingi nikiwa naangalia mpira simu yangu huwa naizima kabisa...hizi smartphone ni shida sana kwa kweli!
Kwendreee...huna lolote arifu...shabiki andazi wewe..
Huyu Chicharito si yuko on loan?! Kweli hawezi kutusaidia zaidi ya hawa akina RVP na Falcao?!
Huyu Chicharito si yuko on loan?! Kweli hawezi kutusaidia zaidi ya hawa akina RVP na Falcao?!
Bring back our Chicharito.........anaweza sana kutusaidia ni jembe hilo.
CH14 yupo loan. Nadhani atarudishwa na hao wazee watauzwa tu. Mara mia dogo kuliko hao majeruhi
Kama LVG angekuwa na faith na CH14 nafikiri angetusaidia sana kuliko Falcao anayestrungle na form fitness. dogo anaijua EPL vemaHuyu Chicharito si yuko on loan?! Kweli hawezi kutusaidia zaidi ya hawa akina RVP na Falcao?!
Hahahahaa naona mnajifariji na team yenu ya kuchomelea.
Kama LVG angekuwa na faith na CH14 nafikiri angetusaidia sana kuliko Falcao anayestrungle na form fitness. dogo anaijua EPL vema
rubaman
Hao India wamechukua muda gani kufika huko Mars? hapa ninazungumzia tangia walipoanza kujiandaa?
Kwahiyo hata timu bora kutumia hicho kiasi sio mbaya maana mafanikio hayaji mara moja
Si unaona mwenyewe tunavyo tengemaa sasa
Angalia msimu ujao uone kama utasema tena maneno hayo
Yeah, wamechukuwa muda mrefu kwa pesa chache kuliko UTD walizotumia kurudi top 4. Nasikia LVG atapewa kitita kingine ili amalieze nafasi ya 2 nyuma yetu msimu ujao LOL
Itabidi sasa ninze kutumia misemo ya Malafyale ili tuelewane lol
Hata nyie mnajua kuwa kabisa Arsenal hawawezi kuwa Mabingwa wa EPL katika kipindi hiki cha karibuni
Hatupo mbali kulibeba kombe la EPL. Misimu 2 au 3 ijayo tutakuwa mabingwa, Bookmark hii. Kina Malafyale wasahau kabisa katika hiki kinyang'anyiro cha EPL. Msimu ujao utakuwa mkali sana kuliko huu.