Mwenzako anakataa kuwa hamjapaki bus leo, Chelsea walikuwa na possession 29% ndio lowest possession since Opta wameanza kurekodi EPL statistics ,sisi tunasonga mbele. I hope Carrick au Blind atakuwepo next game,
Kubali umepoteza game kwa sababu ya quality ya wachezaji wa Chelsea
Tikifungwa tuwapongeze walio kupiga then jipange mechi ijayo
Ata tukikubali kwamba Rooney, McNair na Falcao hawa walipiga mashuti on target... Kubalini tu kua Jana mlibanwa njia zenu zote zote...mlishindwa kupitisha mipira kati....mkashindwa kupitisha mipira kupitia wings....na mkaishiwa mbinu kabisa...na mkabaki kuwaachia mabeki wenu kuchezea mpira tu ktk eneo Lenu!
Angalia mpira wenu na Man City mtaona namna mlivotengeneza nafasi nyingi na kufunga lkn kwa mchezo wenu Jana mlikua butu na kuchanganyikiwa kadri muda unavokwenda....
Timu nzima kucheza ktk half yao sio shida kwanini na nyie msihamie ktk half yao km rahisi hivo?
huu ni uongo....wacha kuupotosha umma.
Mmh yakweli haya
Umeacha wapi ile ya falcao na Mata walizopiga nje
kaka Chelsea jana alikuwa na strategy ya kujihami zaidi kuliko kushambulia ndomana alichezesha mabeki watano kwa pamoja lengo ni kudefend na counter attack..kwa mabeki wa tano ilikuwa ngumu sana Manu u kutengeneza nafasi nyingi za kufunga.
Mourinho insists it was part of the game plan to make their important Man U players disappear,no body saw them they were in our pocket.
Uongo ni upi
Ata tukikubali kwamba Rooney, McNair na Falcao hawa walipiga mashuti on target... Kubalini tu kua Jana mlibanwa njia zenu zote zote...mlishindwa kupitisha mipira kati....mkashindwa kupitisha mipira kupitia wings....na mkaishiwa mbinu kabisa...na mkabaki kuwaachia mabeki wenu kuchezea mpira tu ktk eneo Lenu!
Angalia mpira wenu na Man City mtaona namna mlivotengeneza nafasi nyingi na kufunga lkn kwa mchezo wenu Jana mlikua butu na kuchanganyikiwa kadri muda unavokwenda....
Timu nzima kucheza ktk half yao sio shida kwanini na nyie msihamie ktk half yao km rahisi hivo?
Huwezi kutengeneza nafasi katika mazingira yale, nafasi zilikuwepo against City sababu hawakukaa nyuma. kupaki basi sio dhambi ni just tactics kwenye football
That was Chelsea's lowest possession not the overall lowest possession....as you wanted us to believe!!!
Nashukuru Mkuu umekubali sio makosa kupaki basi....
Hukunielewa,hapa tunazungumzia Chelsea Vs United. Hutaki kukubali kwamba mlicheza defensive game ndio maana nilikupa hizo statistics
It's not a crime tatizo hamtaki kukubali kuwa mlipaki bus
wewe kubali tu jana muliolewa, haijalishi hata kama huyo mwanaume alikuwa mlevi.
Duh!!!! Watoto wa Mournhio mna kelele sana kama baba yenu, yaani kila mahali ni kelele nyumbani kelele,humu mtandaoni kelele hadi makanisani leo kelele kisa Chelsea imeshinda hamna faraja kokote....... Ngoja nijilalie tu......
Pole mamito ngoja tukae kimya ππππ......tatizo wenzako wanatuponda sn....ndio maana twalazimika kujibu hoja zao...
We si umeshinda bana wasiwas wa nini wakati point 3 zako kibindoni waacheni waongee tu japo wanaongea ya ukweli this is how to regain the momentum.... Asubuh njema wote.....
ON TARGET bro
.....