Nzi tunasubiri comments! Hilo ndilo daraja! Waliokuwa wanamponda Hazard bila shaka wameshaweka jibu!
Ander alijiangusha pale chifu...ref alikuwa sahihi kabisa..
Hapo ndio alipokosea aaaseh Blacket alikuwa mzito balaa hata Di maria nae alikuwa anazingua tu upande ule mashambulizi yalipungua kbisa kwa hizi sub Lvg amezinguaDah LVG kaamua kuuza mechi kabisa Blacket sio mchezaji wa kuingia kabisa
Man U imefungwa na refa sio Chelsea. Shame to England refaree
Chelsea was the second best team!Man U nawapongeza sana mmecheza soka
Hongera kwa Rentboys kupata points 3...ila wamecheza 18th Century football kwa kupaki basi tu dakika zote...
Chelsea was the second best team!Man U nawapongeza sana mmecheza soka
Mourinho kama kawaida yake anabahatisha. Ilitakiwa iwe Draw. Atafanya hivi hivi vs Arsenal wikiendi ijayo
Hakuna jipya hapa, hongereni chelsea kwa kubebwa na goli la refarii.
Hivi washabiki wa Chelsea wapo proud na this kind of performance kutoka kwa timu yao???
Poor Chelsea😏
#Red &Proud
Bingwa wa mbinu zisizo za kisoka 😂