Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wadau wenzangu tukubali Van Gaal leo amekula maharage ya wapi sijui.
Kitendo cha kumtoa Mata na Young na kumuingiza Januzah na Dimaria tayari amekubali kushindwa.
Kama haitoshi anamuingiza Blacket aliyeuza timu, kwenye mechi na Leister city timu ikiongoza bao 3
 
Hakuna jipya hapa, hongereni chelsea kwa kubebwa na goli la refarii.
 
😭😭😭😡😡😡😡😭😭😭😭😤😤😤😤

😢😢😢😢😰😰😾😾😓
 
Hivi washabiki wa Chelsea wapo proud na this kind of performance kutoka kwa timu yao???
Poor Chelsea😏
#Red &Proud
 
18th century football at its best 

Jamaa anapenda NFL ilivyo defensive, unaona mwenyewe.Mzee wa kubahatisha at his best. No attacking football formular.
 
Kwa Maureen kupaki basi anaitwa master tactician. Lakini timu nyingine ikipaki basi, media zinaponda timu hizo 😳😳😳
 
Ntuzu hamjatisha katika performance ila hongereni kwa ushindi
FT 1-0
 
Last edited by a moderator:
Duh hata Herrera kashaiga mchezo wa Young na Rooney wa kudaivu daivu sio.Poleni watani. Sisi huku tuna kibarua kigumu pia. Reading 1-1Arsenal ndani ya extra 30 minutes. Tunaweza kupoteza kombe hapa.
 
Good Performance timu imeimarika sana hope next season tutakuwa title contenders na sio top four contenders
 
Nzi tunasubiri comments! Hilo ndilo daraja! Waliokuwa wanamponda Hazard bila shaka wameshaweka jibu!
 
Duh hata Herrera kashaiga mchezo wa Young na Rooney wa kudaivu daivu sio.Poleni watani. Sisi huku tuna kibarua kigumu pia. Reading 1-1Arsenal ndani ya extra 30 minutes. Tunaweza kupoteza kombe hapa.

Sa hivi ndo najua kuwa mnacheza muda huu nlishasau... Wacha nichungulie hapa SS5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…