LVG anamtumia Valencia km beki, at the same time anapanda km wing,
sasa Valencia Hana huo uwezo...anajisahau kurudi kufanya marking, matokeo yake Hazard anamtoroka na kufunga,
the whole first half hazard hakuonekana ...but failure za Valencia hako kadogo kamefunga..