naona mnavyoburudisha Hazard kashatupia 1 hapa. Kama nilivyosema Mourinho amekuja defensive na kutarajia atapata nafasi zake mbili tatu za kufunga goli then watarudisha basi katikati. Zamu yenu kujaribu kuwatungua sasa hivi.

Dirty John Terry. Ilitakiwa refa ampe kadi ya njano kwa kumzuwia FLopao kunyanyuka. Hizi ndio the so called tactics master plans za Mourinho wakiwa wameshapata goli.
Good performance kipindi cha kwanza tunatakiwa kuongeza umakini kwenye Counter attack kipindi cha pili tunahitaji Pass ndefu na cross nyingi maana Chelsea watapaki basi