Mimi ninachoamini ni kwamba haijalishi nani atacheza nani hatacheza ila kesho ushindi lazma mkuu.....cha muhimu tuwaombee kwa kweli...... MUNGU BARIKI MAN U
I see. Naona joto linazidi kupanda. Pande zote mbili zinataka kuonyeshana umwamba nje ya nyasi. Lakini mwisho wa siku ni 0-0, 1-1,.....
Lakini kusema ukweli kutoka moyoni record yenu MAN U siyo nzuri dhidi ya hawa jamaa nikuomba mungu yasiwafike mabaya.
Teh teh teh sijui wamekula maharage ya wapi hawa......Ajabu na kweli sikuhizi Arsenal mmekuwa mashetani washika bunduki??
Mimi ninachoamini ni kwamba haijalishi nani atacheza nani hatacheza ila kesho ushindi lazma mkuu.....cha muhimu tuwaombee kwa kweli...... MUNGU BARIKI MAN U
Kuna hatari kesho MAN U tukachinjiwa baharini manake record yetu siyo nzuri dhidi ya huyu jamaa hasa anapokuwa kwenye makazi yake.
Nipo dear niambie.. .....
View attachment 244387
Kesho kuna kazi hapo backline Fellain itabidi kucheza deep role kusaidia kudefence....Herrera sio mzuri sana kwenye.kudefence
Hahahahahah... 5-0 zinawahusu.. Falcao!? Young amejulia wapi kudefend.. Hapo CB ndo hamna kitu.
Sio kirahisi...hivyo...mlishindwa kutunga hizo tano msimu uliopita tukiwa wachovu ndio mje....kutufunga...sasa...Hahahahahah... 5-0 zinawahusu.. Falcao!? Young amejulia wapi kudefend.. Hapo CB ndo hamna kitu.
Smalling kukaba hajui... McNair kuwa beki wa mwisho ni kumtafutia lawama.
Rooney peke yake mbele ya JT na Cahil/Zouma.. Kwani amekua Drogba /Costa!??😱😕😱:what::what:
Hahahahahah... 5-0 zinawahusu.. Falcao!? Young amejulia wapi kudefend.. Hapo CB ndo hamna kitu.
Huu upande wa Valencia na Mata ndo ule upande wa fundi wangu (Hazard) na beki ambaye kazi yake ni moja tu Kuwa kisiki.....hakika huu upande ni mtamu sana
Kwendraaaaaaaaa mnamtisha nani sasa..... Lol. . ........ haohao mnaowadharau ndo watawafunga... .
Najua Valencia akipanda anaenda Kupiga cross dongo ambazo ni mbaya sana, ila sasa mpaka apate nafasi ya Kupiga hiyo cross dongo mbele ya Azpilicueta roho mbaya ni tabu....na kipanda tu dogo akachua mpira Hazard anahesabu ...
Mimi ninachoamini ni kwamba haijalishi nani atacheza nani hatacheza ila kesho ushindi lazma mkuu.....cha muhimu tuwaombee kwa kweli...... MUNGU BARIKI MAN U