Beki za ManU ni mbovu ndio zimefanya huyu kipa kuonekana vzr lkn makipa wote ni wazuri sn....
Unakwepa swali kijanja, so beki yenu nzuri ndio imemfanya kipa wenu aonekane mbovu
Inaonekana ile rafu ya Kompany ndio imemfanya Blind kuikosa game ya Chelsea
Beki za ManU ni mbovu ndio zimefanya huyu kipa kuonekana vzr lkn makipa wote ni wazuri sn....
Ndo maana mimi nikasema labda kwa vile kapata maswahibu mengi kuliko Cortious ndo maana. Ila wote wazuri sana sana
Kuna mdau hapo nyuma alisema nyie mna kikosi kizuri ata sub zenu nzuri.... Inakuaje mnalialia sn sasa?
Key players wameumia so itasababisha mpaka mfumo utabadilika Rooney atarudi kucheza kiungo, Carrick na Blind ndio tutawamiss sana. Still game haitakuwa mbaya kwetu
Ok... Kuna uwezekano mkubwa mkafanya vzr ata km key players hawatakuwepo....sasa ni wakati mzuri Wa kumuona Fellain uwezo wake...
Ndo maana mimi nikasema labda kwa vile kapata maswahibu mengi kuliko Cortious ndo maana. Ila wote wazuri sana sana
Beki za ManU ni mbovu ndio zimefanya huyu kipa kuonekana vzr lkn makipa wote ni wazuri sn....
Ni kweli Mkuu....
Wote wako vzr sn....
Bila chembe ya Wasiwasi manure watalazimika kumrudisha Rooney midfield
maana ukiangalia sio rahisi kuikamata Chelsea bila ya Carrick then rooney has to return deeper role
na kule mbele kuna hatari pakawa Butu
Rooney kurudi deeper muhimu au la sivyo itabidi Fellain arudi deeper, Kule mbele si atakaa Van Persie au Falcao
RVP aka judas eskariot mgonjwa hatikuwepo na hata angekuwepo hana match fitness ya kucheza game yenye intensity kama ile
FALCAO ni gari la mkaa hamna kitu pale na kwa hakika pesa ilipotea nyingi tu na hata yeye mwenyewe anaona aibu huyo jamaa
Striker itabidi wacheze False number 9 ikiwezekana
Striker sio tatizo kwa mfumo wa sasa viungo ndio wamekuwa wafungaji (Mata, Herrera, Young, Fellaini) hata Rooney game nyingi alizopangwa striker alikuwa muda mwingi alikuwa anacheza kama kiungo