Uchambuzi mzuri sana.
Hoja yake ni ile ya kwanza lkn ile ya pili Na ya tatu Na ya 4 hazina mashiko....wala hazifanyi kz kwa Chelsea iliyopo sasa...
Binafsi naona ana pwenti kiongozi.
Nani ana pressure kati yako na yeye?
Timu gani ipo katika form kati yako na yeye?
Ubingwa nani ana nafasi kubwa ya kuuchukua kati yako, mimi na yeye??
Et ni kwel carrik, blind na jones wote hawatakuwepo kesho🙁
Kiongozi siku zote aliyetangulia huwa na pressure zaidi, hasa katika soma. Maana akiteleza kidogo tu tension inaanza na huwa ndio mwanzo wa kuanguka. Uzuri mlionao Chelsea ni kuwa kocha wenu yupo vizuri sana hasa kipindi kama hili ambapo mnahotaji matokeo mazuri angalau mechi tatu za kushinda ili ndoo iwe yenu.Hoja Yake ya pili.....
Msimamo Wa ligi uko hivi!
1. Chelsea points 73 Na ana kiporo kimoja.
2. Arsenal points 66
3. Man Utd points 65
4. Man city points 61
5. LFC points 57.
Hapa nani yuko kwenye tension kubwa ambaye anatakiwa kila mchezo ashinde? Bila shaka utaona ni Arsenal, ManU, Man City Na LFC. Kwasababu wakiteleza tu mwingine kapita.
Sisi ktk mchezo wetu Na ManU tunahitaji draw tu Na si kushinda.
Ni sawa...Hoja Yake ya tatu....
Chelsea ana asilimia 90 ya kua bingwa kwasababu kuu moja kwamba hatuitaji kuangalia matokeo ya sijui timu gani imepata draw au kufungwa ili sisi tuwe ktk nafasi Fulani....sisi hili kombe liko ktk mikono yetu tulichukue au tulipoteze. Na ata km tukipoteza michezo mitatu ktk saba iliyobaki na kushinda michezo yote minne bado hawa wapinzani wetu hawawezi kuvuka points 84 ata km watashinda michezo yote.
Hoja ya ya 4.
Nina panga hapa kikosi alafu uniambie kwa ManU pamoja na sub ambao Mkuu anadai wakiingia watafanya mabadiliko makubwa kuliko sub ya Chelsea.
Kipa atakua Cech Na sub Yake ni Courtos.
Beki kushoto Na kulia ni Azpilicueta Na Philip Luis. Beki za kati ni Zouma Na Terry.
Viungo Wa kati.
Matic, Obi Na Fabregas.
Wings.
Hazard Na Willian.
Striker.
Remy.
Sub.
Ramires, Oscar, Cahill, Ivanovic, Drogba na Cuadrado Na kipa nimemtaja huko juu.
Sasa huo unarrow Wa kikosi unatoka wapi?
Kiongozi siku zote aliyetangulia huwa na pressure zaidi, hasa katika soma. Maana akiteleza kidogo tu tension inaanza na huwa ndio mwanzo wa kuanguka. Uzuri mlionao Chelsea ni kuwa kocha wenu yupo vizuri sana hasa kipindi kama hili ambapo mnahotaji matokeo mazuri angalau mechi tatu za kushinda ili ndoo iwe yenu.
Ni sawa...
Kwa hapo timu
Kesho hamna sare, daraja linavunjwa na mkandarasi Big Fella
"Chelsea are unbelievably lucky!"
carrick, blind & jones...kumbe haya majembe kesho hayachez bac kesho tunafungwa na chelsea jamani cna tena imani mzuka wa mech umeniisha. shaw for blind sio mbaya ila blackett/mc naire for jones hapo majanga, carrick is irreplaceable.
Kuna malumbano yanaendelea mitandaoni kuwa nani zaidi kati ya De Gea na Cortous...!
Kuna malumbano yanaendelea mitandaoni kuwa nani zaidi kati ya De Gea na Cortous...!
Kwa sasa kwa msimu huu, kiwango cha De Gea kimekuwa kizuri kuliko Cortious.
Mind u wote ni makipa wazuri sana labda kwa sababu De Gea amepata maswahibu mengi sana ndo maana ameonyesha kiwango chake vyema kuliko Cortious.
Ni majanga aisee cjui haya mapengo yatazibwaje, naona bahat ipo upande wa chelsea
Haya bhana inaonekana una moyo mgumu, but kitaeleweka2 ndan ya dk 90Tusitishane wakuu bana!! Mpira unadunda usiogope kabisa, only 90 mins zitaongea,kila mtu anajua umuhimu wa hii mechi si Chelsea si Manu hakuna kulega lega.... Ushindi ni lazima.......
Ulimwengu mzima unajua kijana De Gea ni hatari zaidi, kijana anaifanya kazi yake vyema, mchango alioutoa kwa Man U this season huwezi linganisha na Cortious..... Anastahili kabisa bila unafiki wowote for PFA na PFA young player of the year.
Kwa sasa kwa msimu huu, kiwango cha De Gea kimekuwa kizuri kuliko Cortious.
Mind u wote ni makipa wazuri sana labda kwa sababu De Gea amepata maswahibu mengi sana ndo maana ameonyesha kiwango chake vyema kuliko Cortious.