Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hamna ki2 kama hcho lvg hana michezo ya kujihami kama mou, Na kikoc kitakuwa vile vile2, hakuna mabadiliko labda Jones apumzike ili rojo acheze


Pangeni kikosi hicho hicho muone kz!
 
Kuna uwezekano mkubwa wa LvG kumuweka Phil Jones pacha Wa Carrick jmosi ili kuweka nguvu kwa kati hasa baada ya kuona Chelsea kila upande iko imara...

Tayari LvG anaweweseka

weka source
 
Natabiri 0-0, 1-1, 2-2, 3-3,.....katika mlolongo huo. Nawe toa utabiri wako ukiwa kama mnazi wa "Old Trafford!!!"
 
Jaribu kufuatilia record ya Morinyo vs ya Manure tangia Morinyo akiwa fc poto. alipohamia Chelsea. Madrid na baada ya kurudi tena Chelsea alafu baada ya hapo urudi hapa utupe jibu.

Soon mtakuwa wazee wa historia kama loserfool.
Mbona Intermilan haujakutaja au kwa sababu tulimtua 2-0 nyumbani kwake?
 
Post bora ya mwaka 2015.

 

Kesho siyo mbali, tatizo mmeweka matumaini makubwa sana kwa msema ovyo badala ya kuiangalia timu yenu kwa mechi za hivi karibuni.
Mnashindwa kukumbuka kuwa Mou alikuwepo misimu minne kabla ya kutimukia Intermilan lakini hakubeba EPL ktk hiyo misimu yote.
Alichukua 2004/2005 na 2005/2006 tu
2006/2007 likarudi nyumbani hadi alipokuja kuikimbia timu.
Na alipotua Intermilan tulikutana naye knockout stage CL tukamtoa. Akiwa RM katupiga game moja(Luis Nani akipewa red card), game ya kwanza alilazimisha sare.
Amerudi epl kacheza na Moyes game 2 kashinda 1(hat-trick ya Etoo) nyingine ilikuwa sare (ktk epl).
Msimu huu tumekutana mara 1, mkapak bus game ikaisha 1-1.

Kesho tutajua mbivu na mbichi kama Mou ni bingwa wa mbinu bas athibitishe hiyo kesho.
NB: Akipaki bus tutamuua vibaya maana hii ndiyo mbinu pekee aliyonayo.
 
Last edited by a moderator:


Uchambuzi mzuri sana.
 
Last edited by a moderator:


Msema hovyo ni hodari km alivyo kwenu babu Alex...au Benitez kwa lfc ...sasa kwanini tusiweke matumaini kwake wakati kz anaiweza Na inaonekana?

Pamoja na kusema swala la kiwango....unaweza kuniambia ni mechi gani tumevurunda? Unaifahamu hali anayokutana nayo Chelsea anapocheza Na timu yoyote?

Kesho subirini kipigo tu....mkijitahidi sn mtapata sare......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…