Siwezi kuwabeza chelsea hata kidogo lakini kwa namna Man U wanavyocheza kitimu huku wakiwa na spirit ya ushindi kwa mechi za hivi karibuni nadiriki kusema tena kwa sauti kubwa kabisa Daraja Litavunjwa.
Asante kitwala hilo halina ubishi daraja lazima livunjwe..........
Mmmmh mamito.... Unajua huyu kitwala anazuga tu....ata huyo Earthmover yuko pembeni usiwate hawa ndugu zng...watakugeuka sasaivi....
Hahahahahahha!!! Lakini hawa wanaongeza kachumbar tu mm nilishakueleza haijalishi wewe ni bora kias gani lakini jambia linakuhusu....,...
Blue lions wapo kuliuwa hilo shetani lenu.
Hawaliwezi watajaribu lakini hawataweza......
Garry Neville ktk mahojiano Yake kupitia kituo cha sky sport amekiri kua Man U imekua inapitia mitihani mikubwa km vile Wa LFC Na Man City....lkn kwenda Stanford bridge ktk timu bora kabisa nchini England ni mtihani mkubwa sn ambao Man Utd inakwenda kukutana nao....
Sasa km huyo nguli wenu Wa Utd anakubali sembuse mie maganga Wa Bariadi kuwabishia nyie hoja zenu?
Chelsea kiboko Mkuu.
Mtihani unaweza kuwa mgumu zaidi na ukapita tu
Unayajua mafuta ya Simba wewe.....yana kz gani? Muulize kitwala au huyo Earthmover....shetani halikatizi hapo....
Unayajua mafuta ya Simba wewe.....yana kz gani? Muulize kitwala au huyo Earthmover....shetani halikatizi hapo....
Unayajua mafuta ya Simba wewe.....yana kz gani? Muulize kitwala au huyo Earthmover....shetani halikatizi hapo....
Naona umejibu kwa tahadhari
Hamna lolote labda mtufanyie hujuma mcheze na refa pia............ .......
Bhageshi nisiseme sn bhana...nitumie nafasi hii kukuribisha darajani Na hiyo timu yako uone km hiyo spirit ya ushindi km itaonekana....
Tangu msimu uliopita mpk huu tunakwenda mwishoni Chelsea Fc haijawahi kufungwa Na manyanga yoyote ile ya top four Zaidi ya vitimu vidogo Na spurs....sasa sijui nyie mnaanza kutukana mamba ingali bado hamjavuka mto?😱😱😱
View attachment 243975
Hapa utaona zaidi Ntuzu ana mtihani mgumu kuliko sisi. Nadhani ubingwa unaning'inia shimo la choo. Man City ndo kamaliza kibarua chake cha mechi ngumu. Arsenal najua huu ndo muda wa kupiga kila alie mbele yake. Nafasi ya nne ndo ubingwa wake.
Kwahyo Ntuzu utapoteza mechi yetu na ya arsenal. Waliobaki unaweza kupita tu.
rubaman everlenk
Kuna uwezekano mkubwa wa LvG kumuweka Phil Jones pacha Wa Carrick jmosi ili kuweka nguvu kwa kati hasa baada ya kuona Chelsea kila upande iko imara...
Tayari LvG anaweweseka
Ngoja nikwambie kuhusu United na kwann tunasema tutakupiga?
1. Sisi sio favorite wa kuchukua kombe, so hatuna cha kupoteza. Kwanza tulianza league kama underdogs mkisema united ataishia nafasi ya saba kama kawaida yetu. Management ya united ikamwambia Van Gaal kuwa ili tusipoteze 30% ya deal ya addidas basi mwaka huu tuingie top 4 kwanza. Na hili ndo lengo letu toka mwanzo.
2. Mechi yenyewe: nyie mtakuja na tension na panic kwenye hii mechi ambayo mtataka kwa udi na uvumba mshinde, so hakutakuwa na umakini hapo ninaona watu wa kucheza kwa kupanic wakati sisi tunakuja kucheza mpira, tutatulia tuchukue ushindi.
3. Nafasi ya kuchukua kombe: sisi tuna 30% ya kuchukua kombe endapo tukashinda mechi zote. Huku tukitegemea wa juu wapoteze na kudraw mechi nyingi sana. Arsenal ana nafasi ya 50% na Chelsea ana 70% percent. Mechi ya sisi na nyie ndo itapunguza au kuongeza nafasi yenu ya kuchukua ubingwa. Kwahyo mjipange sana.
4. Nafasi ya wachezaji, mna wachezaji sana ambao ni very average, na wachache ni wale world class. Benchi lenu lipp very narrow for choices wakati sisi tumejaza wachezaji lukuki ambao ukawachukua na wakafanya kitu uwanjani.
Ntuzu usijiamini sana kwanza kushinda mechi yetu na kuchukua ubingwa. Sasa hivi race imekuwa too tight my bro si kama unavyosema na mbaya zaidi siku hizi kadiri mnavyokwenda mnazidi kuchuja na kuvurunda. Sijui wachezaji wanachoka? Au tatizo ni nini brother!?
Usishangae mwisho wa siku akachukua hata man city au arsenal. Unakumbuka ule mwaka ambao man city walichukua ubingwa dakika ya 93? Kwa bao la aguero? Wakati tulikuwa tumewapita almost points 10 na wakaja kutupita almost points 10 mwisho wa siku wakaja kubalance.
Haya maneno yako ya kujifariji ndio yanafikia kikomo... jumamosi hiyo ndio inawadia
Jitayarishe kisaikolojia kuwa tayari kupokea matokeo ya kuchezea kichapo..... ila kuna kitu kimoja utacho enjoy siku hiyo .... ni kuona total football iliyoongezewa na attacking football ya timu bora na kubwa Man Utd
Mitaa ya Stanford bridge hali siyo shwari kabisa.
Mou halali akiwaza nani amkabe nani maana Man U siyo timu ya mtu mmoja.
Hadi sasa hajajua nani atafunga na kwa wakati gani.
Wana Man U tuwakumbuke wenzetu the blues kwenye maombi wasije tutoka kwa pressure na mashinikizo ya damu baada ya kuona timu yao ikipigwa nyingi.
Jaribu kufuatilia record ya Morinyo vs ya Manure tangia Morinyo akiwa fc poto. alipohamia Chelsea. Madrid na baada ya kurudi tena Chelsea alafu baada ya hapo urudi hapa utupe jibu.
Kuna uwezekano mkubwa wa LvG kumuweka Phil Jones pacha Wa Carrick jmosi ili kuweka nguvu kwa kati hasa baada ya kuona Chelsea kila upande iko imara...
Tayari LvG anaweweseka