game za man u, arsenal na liverpool all together vs chelsea zitainyima ubingwa chelsea cos anagongwa zote...ubingwa kwenda OT.
hivi ni nani huyooooo aliyeyaondoa?amekula maharage ya wapi huyooooo!na sasaaa natoa tamko sasaaa...ayarudisheeeeeenaomba haya maneno "hatushikiki"yarudishwe
U nafikiri Mou ni wakupiga tu...kumpiga tu...kuvunja daraja tu km limejengwa kwa mabua....
Tunajua umuhimu Wa huu mchezo Zaidi unavoweza kufikiri...hii michezo miwili ndio inatupa ubingwa sisi...
Subirini muone tunavompinga Man Then twaja kwako Gunners tunakupiga mpk Wenger aanguke tena.
Mkuu kwa jinsi unavyocomment these days inaonesha dhahiri kwamba huna uhakika wa kushinda kwa asilimia kubwa kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma ambavyo ulikuwa una uhakika kutubutua muda wowote, now naona kidogo una wasiwasi kwa mbali, huna uhakika wa ushindi. Anyways game chochote kinaweza kutokea though nitafurahi sana kama Utd tukishinda
Ni sentesi ipi inayoonyesha kwamba sina uhakika? Uhakika Wa kukufunga ninao sn. Na timu yako inaweza kuwasumbua hao wengine lkn sio Chelsea.
Mchezaji Gutierez jana kapata standing oviation Anfield sehemu ambapo mpira ulizaliwa Uingereza;mashabiki wamempongeza kwa ku battle cancer
Ingekuwa ktk viwanja vyenu nyie wote Gutierez MNGEMZOMEA
huyu jamaa anastahili mkataba mpya. tena mrefu,amekuwa kama Sir Alex alivyotegemea.
Hilo halina shaka kabisa Mata siku hiyo lazima atupie........
Halafu watajua tu sikio halizidi kichwa..... dent ni dent tu........
Kweli dent ni dent tu lkn huyo dent alishampa teacher wake na teacher wake hawajahi mchapa dent wake...sasa nani kiboko hapo?
Hahahaha!! Dent alimvizia ticha akiwa amelala.......
Teacher alikua macho kabisa....tena akiwa na timu kubwa....dent akamchapa teacher na kusepa na ndoo.
Chezea dent Mou wewe?
Hahahaha!! Ualimu ni wito safari ile ilibidi dent aachiwe ili ajenge CV ila sasahivi dent amekuwa jeuri ngoja apewe haki yake......
Hahahaa teacher koooooooote huko anakopita na jambia lake anawakurupusha tu....lkn kwa dent wake anakuja kamwagiwa Maji kabisa....maana anajua dent hafai...