71 mins: Blind plays the ball down the left for Young, but thats far too strong. City look to Pellegrini for a solution, and he just stands there, looking a little bit lost.
Ndio uzuri Wa Malafyale timu ikimfunga lazima aiheshimu!
Sasa kukata mzizi karibuni sn darajani muone kz
Lipara ya huyo Mangala inang'aa kama ka trophy vileee 😂😂👴🏿
Nishakwambia kombe unachukua ila lazima uniheshimu ,jambia linakuhusu........
Mwaka huu tulikosea hesabu mwanzo wa ligi lakini mwakani Gold Ware itahusika tu.
Na hako ka trophy ndiko kanatupa mzuka. Hahahaaaaa
Mourinho anasema anapenda kucheza big game ata wachezaji wake wanapenda sn....
Jiandaeni na shughuli nzito
Yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan rahaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
Kimoyo moyo huwa anaumia.basi..ukitaka kujua soma maneno yake utajua...Kumbe kuna wakati huwa unaikubali Man U
Ukishindwa kumpiga basi ungana nae
Jones katangulia kule wapi sijui daraja la miti
Kwa mara ya kwanza msimu huu Chelsea anaingia kucheza na Man U akiwa ni "under dogs"!Man U wapo vyema zaidi ya Chelsea
Karibuni darajani wakuu.