Ninamshukuru Mungu sana kwa kunichagulia Man Utd iwe ni timu yangu
Yaani ni furaha tuu kila siku
#ChelseaFans tunakuja kugonga mlango wenu soon... jitayarisheni kufungua
Mata is anything that occupies a space and it has a mass.
Ndio uzuri Wa Malafyale timu ikimfunga lazima aiheshimu!
Sasa kukata mzizi karibuni sn darajani muone kz
Aiseeeeeeeeeee hivi Ferguson ni bado kocha wa Man u?
Kumbe kuna wakati huwa unaikubali Man U
Na bado mtamaliza nyuma ya ARSENAL... Good night kwa mlio Afrika/Europe/ Asia
mjipe faraja tu ila nawashauri muandae glucose paketi za kutosha
Uzuri hii game ninai record nitakuwa ninarudia kuiangalia mwaka huu wote
Pelleguin kazeeka ghafla kaoneshwa hapaaa
Leo ni siku nzuri sana kulipa goli 6 lakini tunapoteza nafasi nyingi sana
Kwa mara ya kwanza msimu huu Chelsea anaingia kucheza na Man U akiwa ni "under dogs"!Man U wapo vyema zaidi ya Chelsea
Camera man alivyo mchokozi amemvuta macho tu mpaka zero distance. Analia bhana....
Kombe la arsenal ni kuwa top four tu. Subirini mshangilie league ikiisha. Sisi had silverware.
GGM