Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Young, Mata hii sasa sifa

Kampeni inaendelea, kati ya 6 bado wawili wajiandae kunyonywa damu
 
Reactions: Nzi
Tunashinda mechi zote zilizobakia
Chelsea tunamfunga na Arsenal anamfunga
Atatoa sare mbili. Ubingwa umemtokea puani. Hayo ni meno kumi kayaacha hawezi kupona. Kiwango kimeshuka mno.


Naomba tarehe 18 uwepo wako uwe km huu Wa Leo ili haya maneno yako nikukumbushe.
 
Tukishinda mechi ya arsenal na chelsea ubingwa uhakika

Mkuu sasa akili tunazihamishia kwenye next game dhidi ya Chelsea..... dalili zote zinaonyesha kuwa vijana watarudi kwenye jiji la Manchester wakiwa wanatabasamu

cc Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sasa akili tunazihamishia kwenye next game dhidi ya Chelsea..... dalili zote zinaonyesha kuwa vijana watarudi kwenye jiji la Manchester wakiwa wanatabasamu

cc Ntuzu


Mourinho anasema anapenda kucheza big game ata wachezaji wake wanapenda sn....

Jiandaeni na shughuli nzito
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…