Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Waungwana kuna movement zozote kwenye dakika za mwisho za usajili? Naona Fergie amehint kuwa anaweza kumweka Hargo kwenye listi ya wachezaji 25 come tomorrow.

Tom Cleverley amekwenda Wigan kwa mkopo.

Nt realy...naona ameamua kutosajili tena this season. Hagro?, kweli pale tuliramba Galasa aisee. Anderson sijui atapona panga la SAF?
 
Haya waungwana wachezaji wetu 25 wa msimu huu ndio kama ifuatavyo. Hiki kikosi ni cha kushinda EPL lakini kwenye UCL hmm sian matumaini, labda miaka mingine miwili mitattu.

Goalies
Edwin van der Sar
Tomasz Kuszczak
Ben Amos
Defenders
Wes Brown
Patrice Evra
Rio Ferdinand
Jonny Evans
Gary Neville
John O’Shea
Nemanja Vidic
Midfielders
Darren Fletcher
Darron Gibson
Ryan Giggs
Owen Hargreaves
Nani
Anderson
Park Ji-Sung
Paul Scholes
Antonio Valencia
Michael Carrick
Strikers
Dimitar Berbatov
Javier Hernandez
Michael Owen
Wayne Rooney


Likely to play U-21
Fabio
Rafael
Gabriel Obertan
Bebe
Chris Smalling
Federico Macheda
 
Waungwana Mirror la Uingereza wana habari ya Wayne Rooney kwenda nje ya ndoa yake na mwanamke wa kununua pichani chini aliyekuwa anamlipa £1,000 kwa usiku wakati mkewe akiwa na mimba ya mtoto wao (Kai).
 

Attachments

  • jennifer-thompson-292994569.jpg
    18.6 KB · Views: 25
Waungwana Mirror la Uingereza wana habari ya Wayne Rooney kwenda nje ya ndoa yake na mwanamke wa kununua pichani chini aliyekuwa anamlipa £1,000 kwa usiku wakati mkewe akiwa na mimba ya mtoto wao (Kai).
lol..huo mchuchu wenyewe mboni kaa ume-buckel flani hivi..? Rooney kweli hana gemu, pauni 1000? pauni 1000 hakuna cost-effectiveness..IMO..aarrghh, kwanini asingeenda Copa Cabana kujifua ufukweni kwa bei nafuu?
 
Vipi Huku mbona kimya sana leo?...........kuteleza si kuanguka Wakuu..........
 
Vipi Huku mbona kimya sana leo?...........kuteleza si kuanguka Wakuu..........

Mkuu, hii mechi imenikata maini sanaa tu. Though am glad Beba he is picking up, next time tuna uhakika bila Rooney the score line is there.
 
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi wa leo. Tuendelee kuzibua vizibo.
Tumeona mchezo wa vijana wapya, Pique na Simpson.
Kanyaga twende.


Najua unaskizia hali-ngumu sasa hivi..................
 
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi wa leo. Tuendelee kuzibua vizibo.
Tumeona mchezo wa vijana wapya, Pique na Simpson.
Kanyaga twende.
Mkuu samahani nadhani kwa sasa unaweza ku edit hii post yako,maana kuna mabadiliko mengi tu yametokea, kwa mfano vijana wapya ni kama Chicharito,Bebe na si hao wanaoendelea kutajwa na hii post yako
 
Waungwana naona mechi ya leo tumechemsha kweli kweli, timu ilikuwa na speed lakini haina creativity kabisa. Msimu wa Valencia unaonekana ndio umefika tamati.
 
P GD P
1 Valencia 1 4 3
2 Man Utd 1 0 1
3 Rangers 1 0 1
4 Bursaspor 1 -4 0 Huyu Kibonde inabidi hadi Vander sar apate goli lake moja ..Kafungwa kwake kapu lote hilo
Kweli leo babu atalaumiwa kwa kuijaribu timu kwenye CL
 

At Old Trafford, where two British clubs face off, Manchester United show 10 changes from the team that last represented the Red Devils, and the contest with Rangers fails to produce significant early excitement

United's Antonio Valencia lies stricken on the turf following a tackle from Kirk Broadfoot with players immediately calling for a stretcher amid fears the Ecuador international has a serious ankle injury

The Old Trafford encounter finishes as a 0-0 stalemate, a result which is bound to be applauded by fans of the Scottish team who get a point from what appears their hardest fixture in the group
 
Hiyo kichwa yake ya kutoshikika hakika imerandana na hali halisi, ni kweli kwa sare mwaka huu sijui nani wa kuwashika... POLENI KWA MAjeraha ya Antonio Valencia... Tuko Pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu... Ligi bado Mbichii...
 
P GD P
1 Valencia 1 4 3
2 Man Utd 1 0 1
3 Rangers 1 0 1
4 Bursaspor 1 -4 0 Huyu Kibonde inabidi hadi Vander sar apate goli lake moja ..Kafungwa kwake kapu lote hilo
Kweli leo babu atalaumiwa kwa kuijaribu timu kwenye CL
Mwenzio kujiamini toka kitambo hadi kishawahi kutolewa kashfa,ila sawa champions league kwa kikosi kile sio rahisi kubeba,labda aliwadharau rangers au ni timu yake maana alichezea enzi za ujana wake soma hii chini jinsi alivyoanza toka miaka hiyo kuwaamini vijana,ila nampenda kocha mwenye kujiamini na kujua kipi anafanya
It was widely known that Ferguson felt that United had a number of young players who were ready to play in the first team. The youngsters, who would be known as "Fergie's Fledglings", included Gary Neville, Phil Neville, David Beckham, Paul Scholes and Nicky Butt, who would all go on to be important members of the team. And so the 1995–96 season began without a major signing, at a time when the likes of Arsenal, Liverpool and Newcastle United were making the headlines with big money signings. When United lost the first league match of the 1995–96 season 3–1 to Aston Villa, the media swooped upon Ferguson with undisguised glee. They wrote United off because Alex Ferguson's squad contained so many young and inexperienced players. Match of the Day pundit, Alan Hansen proclaimed that "you can't win anything with kids".
However, the young players performed well and United won their next five matches, exacting their revenge over Everton for the FA Cup defeat with a 3-2 win at Goodison Park and achieving a 2-1 away win over defending champions Blackburn Rovers who were now looking rather like relegation battlers than title contenders.
Cantona's return from suspension was a boost, but they found themselves 10 points behind Newcastle United by Christmas 1995. A 2-0 home win over the Tynesiders on 27 December narrowed the gap to seven points and a subsequent win over struggling QPR narrowed it to four points, but a 4-1 defeat for United at Tottenham on New Year's Day 1996 and a 0-0 home draw with Aston Villa saw the Magpies re-establish their wide lead and it looked certain that the league title was Newcastle's.
However a series of good results starting in mid January 1996 saw the gap close, and when United travelled to Newcastle and won 1-0 on 4 March, the gap was down to a single point.
United went top of the league soon after the win at Newcastle, who continued to drop points in crucial games.
Early April saw Newcastle manager Kevin Keegan's famous outburst on live television ("I'd love it if we beat them! Love it!") is generally regarded as the moment that Ferguson gained the upper hand against his opponent. United's Premier League title success was confirmed on the final day of the season, when they defeated a Middlesbrough side managed by former United captain Bryan Robson in a game which ended in a 3-0 win despite strong displays by Boro confounding pre-match reports that Robson would give his old team an easy ride.
They played Liverpool in that year's FA Cup final, winning 1–0 with a late goal by Cantona. This made them the first team in English football to repeat the double of the league title and FA Cup, and more impressive was the fact that it had been achieved with a similar set of players to the ones who achieved the first double.
1996–97 saw Alex Ferguson guide Manchester United to their fourth Premier League title in five seasons. In late autumn, they suffered three league defeats in a row and conceded 13 goals in the process. They also lost their 40 year unbeaten home record in Europe to unfancied Turkish side Fenerbahçe. But they still reached the Champions League semi final, where they lost to Borussia Dortmund of Germany. At the end of the season, Cantona surprisingly retired from football.
Other success stories of the 1996–97 season were two Norweigan signings, striker Ole Gunnar Solskjaer (the club's top scorer that season) and defender Ronny Johnsen, who were bargain buys as they were little known outside the Premier League on their arrival the previous summer but went on to be key factors in United's fourth Premier League title.
fuata website hii http://en.wikipedia.org/wiki/Alex_Ferguson
 
Still mda upo, kama unafwatilia soka sijui ni msimu wa ngapi Man Utd tuanza kama hivi?...keep ur faith up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…