palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,462
Nne moja
wewe subiria utaona
Nne moja
mpira utaisha 4-4
Nyekundu inanukia..!!
Refa gawa hizo karanga
Hahahahahah afadhali umekuja mkuu
Naona kuna vijana wengi umewa ajili, wanafanya kazi yao nzuri humu kuwa anti man utd
Nafikili unaona kinachotokea uwanjani
Halafu kuna kitu nimegundua watu wastaarabu humu JF wanashabikia Man Utd
Safi sana .....